Tusitegemee kwenda mbali katika kila nyanja ya maendeleo

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,528
6,085
Hii hali ya kufuata sana matakwa ya Chama Cha Mapinduzi na hasa yasiyo na tija kwa taifa,kamwe tusitegemee kusonga mbele ktk kila nyanja ya maisha,
Tumesikia tayar tarehe mpya ya kurudia uchaguzi Zanzibar,
Pesa ya kugharamia hilo inapatikana wapi? ikiwa toka uchaguzi umekwisha Zanzibar haijawa na utulivu wa kuwezesha shughuli za kiuchumi kufanyika kama inavyotakiwa,
Lakini vilevile tutalinda maslahi ya watu wachache mpaka lini kwa kulitwisha mzigo mzito taifa linalotakiwa kusonga mbele katika kila sekta
Tulishuhudia vilevile kundi hilo hilo la watu kuhujumu mchakato mzima wa katiba,katiba inayogusa makundi yote nchini,yaani hutegemei kitu kama mchakato wa katiba kuharibiwa,mchakato ulio tumia kiasi kikubwa sana cha fedha za walipa kodi wote walio na vyama na wasio na vyama,
Kwa hali hii ni ngumu sana kutegemea kitu kipya chini ya utawala wenye sura ile ile kila siku
 
Magufuli amewekeza zaidi kuintatain,nadhani wasanii alioambatana nao kwenye kampeni wamemuharibu.ni vituko na kumak headlines
 
na hata hii demokrasia hamna kinachoonekana zaidi ya kutaka tuu pesa za wahisani lakini hakuna demokrasia yoyote nchi hii,
 
Tanzania bara itagharimia uchaguzi, wakianza kuchimba mafuta tutawakata hela yetu, suala ni kwamba utafanyika kwa amani?
 
Back
Top Bottom