Tusitafute mchawi yanayotokea bungeni spika na manaibu wake hawana sifa za nyasifa zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusitafute mchawi yanayotokea bungeni spika na manaibu wake hawana sifa za nyasifa zao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Japhari Shabani (RIP), Jul 29, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa haya yanayoendelea bungeni kwa jinsi Spika Makinda na manaibu wake wanavyoliendesha bunge imedhihirisha ya kua hawana sifa za kumiliki nafasi hizo.Wachambuzi wa mambo walihoji na kutahadhalisha kuhusu uwezo wa Makinda kuliongoza bunge la sasa lakini CCM ilipuuza ianafahamika ya kua CCM ilifanya hivyo makusudi.Kwani kwa CCM spika lilikua chaguo la mafisadi kuweka mtu atakae linda masilahi yao na mtu atakaekua anafuata lile analoambiwa na mafisadi na kufuata matakwa yao.Kwa bahati mbaya Rais wetu Kikwete aliwekwa kwa mpango huohuo sasa ni hatari tunapokua na Rais asiye na meno na spika asiye na meno Tunakwenda wapi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  in order to be appointed to hold certain position at ccm, you need to show high level of hypocrisy
  they have done it
   
Loading...