Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,414
Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake.

Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu wangu wa karibu sana ambao wengine walinilinda wakati wa shida jumla ya wanachoniomba Ni Mara tatu ya mapato yangu.

Hivyo kibinadamu napaswa nielekeze yote kwa mke na vitoto vyangu viwili.
Ndugu corona inapita Ila udugu ,urafiki na upendo vipo .katika Zama nzuri ndiko tulikoujenga.kwa Sasa Kila mtu jitahidi upambane na Hali yako hata matajiri skuiz hawatoi sadaka uliza makanisani kama hawampi mungu wakukumbuke we? Watu wako busy kulipia madeni yao ya tra ya nyuma wengine wanafunga biashara .maisha yako huwa Ni yako hapa dunian hasa hizi Zama.

Na kwa wenye kipato Cha ziada ambao najua Ni wachache kwa kipindi hiki kama umejaaliwa saidia wenzio wenzio wanateseka sana.ikibidi usinywe Hennessy walau siku moja ukamtumia rafiki yako wa tourism elfu hamsini itakuwa umemtoa mbali.
Maana nahofu baada ya korona kutuimalisha ikatumalizia ujamii wetu.
 
Back
Top Bottom