Tusishangae mwanasiasa kuhama chama

kilagalila

JF-Expert Member
Nov 8, 2018
320
154
IMG-20200222-WA0207.jpg

"Tusishangae mwanasiasa kuhama chama, tunatambua siasa ina gharama zake za ushawishi, nidhamu na kuwaletea maendeleo wananchi. Hivyo, ni lazima mwanasiasa akae sehemu yenye amani ili amudu majukumu yake.

Kila la kheri Cecil Mwambe, Katani Ahmad Katani.

#CDE Titho Stambuli_Afisa Tarafa Mchauru
 
Attachments

  • IMG-20200222-WA0207.jpg
    IMG-20200222-WA0207.jpg
    18.9 KB · Views: 1
Hao waeleze ni vipi vyama vyao vimewazuia kufanya kazi zao za kibunge!Yaani unawaacha wanamchi wako bila uwakilishi kisa unaunga mkono juhudi?Hii ni akili au matope?Kwanini wasingesubiri bunge la bajeti livunjwe?Nani atawawakilisha wananchi kwenye mkutano ujao wa bunge?Huu ni ujinga,period!
 
Watajibu tusubiri
 
Back
Top Bottom