Tusisahau tulipotoka na ndo mwanzo wa kupoteza dira

zanzsco

Senior Member
Aug 21, 2011
161
45
Kuna dada mmoja ametokea kwenye familia duni na alitolewa kijijini na ma frend na akawa anamsaidia kazi zake....
kwa bahati nzuri akampata mume pesa imetakata thru ma frend........

Sasa ameanza mashauzi kuwa haweza panda daladala tena na kula ovyo.....
tukitoka as double even triple dates with ha n ha heart anasema yeye kazoea salady tu sio ugali,wali even meat hataki!!!!!!!!!!!!!!!! kula kwa mapozi kitu nyanya inakatwa kwa umma ndo iliwe eti atachafua lips............ usista do mpaka basi!!!!!

nikikumbuka alipotoka nabak kumwoenea huruma cjui akiachika ataenda wapi coz ndoa yanyewe c halali ila amelipiwa mahari..............

Kweli pesa hubadili watu na tabia zao. namwomba Mungu hata niwe tajiri vipi niwe normal as a human being.....

BEING RICH MEANS YOU HAVE TAKEN MORE FROM THE UNIVERSE EVEN THE POOR SHARE........

''A DOWN FALL OF A MAN BEGINS WHEN HE FORGETS WHERE HE CAME FROM'' TB JOSHUA.
 
Mbona inaonekana kama unamwonea wivu mdada wa watu?
 
kwanini aachike? wewe ndie utakuwa mchawi wa ndoa ya mwenzio
 
uhalali wa ndoa ni nini?
 
1. Sasa ameanza mashauzi kuwa haweza panda daladala tena na kula ovyo.....

2. tukitoka as double even triple dates with ha n ha heart anasema yeye kazoea salady tu sio ugali,wali even meat hataki!!!!!!!!!!!!!!!! kula kwa mapozi kitu nyanya inakatwa kwa umma ndo iliwe eti atachafua lips............ usista do mpaka basi!!!!!

A. nikikumbuka alipotoka nabak kumwoenea huruma cjui akiachika ataenda wapi coz ndoa yanyewe c halali ila amelipiwa mahari..............

B. Kweli pesa hubadili watu na tabia zao. namwomba Mungu hata niwe tajiri vipi niwe normal as a human being.....

Kama nimenukuu vizuri 1 na 2 yaonekana ndio allegations zako kumuelekea huyo rafiki yako...

1. Hivi kutopanda daladala na uwezo wa kufanya hivyo ukiwa unao ni kosa?? au kula hovyo pia ni kosa??

2. Unajua maana ya neno mazoea? Ni dhambi mtu kuwa na mazoea ya kula salad na wala sio nyama and the likes?

A. Kwa nini umuonee huruma sasa wakati ana maisha mazuri kuzidi ya mwanzo kiuchumi?

B. Hapa ndio nimeshangaa kidogo, je huyo rafiki yako kageuka kuwa kiumbe kingine na si mwanadamu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom