Tusisahau: Nguli wa siasa za upinzani Tundu Lisu ni zao la Prof mbobezi wa sheria Palamagamba Kabudi pale UDSM.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,799
141,696
Tunakumbushana tu.

Na salamu hizi ziwafikie makamanda wote wa Chadema popote pale mlipo mkiongozwa na tindo, mrangi na bila kumsahau Allen Kilevela wa pale Kihesa, jimboni kwa mchungaji Msigwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
sasa tunaanza kuona yale waliona wengune kitambo wakajisemea professorial rubbish hahahahahaah
 
Sawa hata chui wakati mwingine anaweza zaa paka na paka hiyo huyo anazaa watoto ambao akilea vivmbaya wanakuwa na matendo ya chui
 
Chuo kikuu hasa LLB kuna masomo mengi alimfundisha somo gani? au yote?
 
OK tumekusikia, tunamsubiri Lissu mwenyewe aje atuambie kama alikuwa anafundishiwa jalalani.
 
Magufuli angelijua angemuomba Makonda walau mil 45 aongee ili awe ametoa mchango mkubwa kwa hao Wazambia
 
Back
Top Bottom