Tusisahau hili jema la Dkt. Bashiru Ally

Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...

Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..

Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...

Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..

Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
All the best kwake
 
Ila habari za sisiemu kubaki madarakani kwa nguvu ya dola nazo zisitiwe kwenye utumishi wake uliotukuka...
 
wewe nani? unaitwa nani? ni nani dunia hii? address yako?

au mkumbo tu wa kitanzania kueneza chuk

umepasiwa chuki kama mpira!!!! unatambaa nayo

Hakuna sehemu wewe bushiri kaukosea na familia yako, ukakosa mboga ya kula au bando la kuangalia insta....ila roho mbaya na chuki inaogelea kwa kufurahia baya la mwingine

ebu andika kwa sentensi mbili, Bushiri kakukosea nini?
Alikosea watanzania wote kusema CCM itatumia dola kubaki madarakani,kosa kubwa sana kwa nchi
 
H
Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...

Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..

Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...

Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..

Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
Hivi ugumu wa kukataa kumuongezea muda upo wapi? kusema, "Rais asiongezewe muda" inahitaji ujasiri kiasi gani?

Ikiwa katiba ambayo ni sheria Mama imesema wazi kabisa juu ya suala la ukomo wa madaraka na uzuri wote tupo chini ya Katiba.

Sasa kuna haja gani ya kupongeza kana kwamba mtu amefanya jambo la kishujaa kumbe amerejea tu sheria na katiba?

Kiufupi, msimamo wa ukomo wa madaraka si wake ni wa sheria!!!
 
Na ndio maana baada ya kusema kuwa raisi hataongezewa muda boss wake hakupenda hiyo kauli kimoyo moyo ndio maana ya kupewa cheo kikubwa Cha katibu mkuu kiongozi ili kufungwa mdomo .Kama ulikuwa hujui ndugu.
 
Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...

Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..

Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...

Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..

Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
Ndie aliesema CCM itatumia dola/nguvu kubaki madarakani

Ndie aliesema asingekubli teuzi nyingine zaidi ya ukatibu mkuu wa chama

Mengine aliyoyaongea na kuyafanya sirini hatujui
 
Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli...

Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi yangejitokeza..
Mradi yupo kwenye rekodi na aliongea waziwazi kuwa ..anataka Rais Magufuli amalize mda wake ..aje mwingine kama ulivyo utaratibu...basi hili moja Tu linatosha kabisa kumkumbuka..

Kama habari za mabilioni zitakuja kujulikana si za kweli basi huyu Bashiru atakuwa kaonewa sana ...

Tusisahau haikuwa kazi rahisi kuwa na msimamo wako tofauti na MATAGA enzi
Za Magufuli na kuusemea waziwazi msimamo wako....lakini Bashiru kwenye hili alisimama na kuhesabiwa waziwazi..

Mimi Kwa hili moja heshima yangu kwake iliongezeka na tuhuma zingine zote nasubiri zithibitishwe ndo nimpe hukumu sahihi...
Bashiru hafai ilikuwa kauli yenye mchezo mchafu ndani yake, hawezi kushindana na wazee wa takaasitake ataongezewa muda kama vip alazimishwe tu anakataa anakataa kwa vip
 
Back
Top Bottom