Tusisahau barabara ya Tunduma-Sumbawanga ilijengwa enzi za Kikwete lakini inazinduliwa leo. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

View attachment 1224801
Hii ni sehemu ya umati wa wakazi wa mji mdogo wa Laela wilayani Sumbawanga wakiwa wamejitokeza kumsikiliza Rais Magufuli ambaye anatarajiwa kufungua barabara ya Tunduma- Sumbawanga.

Habari ndo hiyoooo
Miradi mingi ilanzishwa Ila hela ilipigwa , isingekuwa jitihada madhubuti za Maghufuli kurefund hyo barabara usingeioma
 
Jamaa anapenda zindua kila kitu. JK atakuwa anafadhaika sana.
JK anawaona wanasiasa wengi ni wanafiki leo hii wote wanasema hakuna kama JP
 
Nakubali!! Mwaka 2012 nlichaguliwa kujiunga na A-level Matai Sec, Kalambo, Rukwa nkitokea Mbeya Mjini. Mara ya kwanza naenda ilikuwa full vumbi, ila kakipande kadogo sana pale Laela. Na kutoka Sumbawanga mpaka matai hakukuwa na Lami ni full vumbi na mabonde.

Mambo yakaanza badilika kila tukienda likizo na kurudi vitu vilikuwa vinajengwa. Mpaka namaliza 2014, ilikuwa lami kwa sehemu kubwa naweza sema asilimia 90 ilikiwa lami. Wakati naenda chukua result slip kwa ajili ya kukamilisha usajili huko mbele, ilikuwa ni full lami kote mpaka nkasema hawa saivi wana enjoy maisha. Yani Tunduma to Sumbawanga Lami, Sumbawanga to Kalambo (Matai) nkiishia matai ilikuwa lami.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
View attachment 1224801
Hii ni sehemu ya umati wa wakazi wa mji mdogo wa Laela wilayani Sumbawanga wakiwa wamejitokeza kumsikiliza Rais Magufuli ambaye anatarajiwa kufungua barabara ya Tunduma- Sumbawanga.

Habari ndo hiyoooo
Amemtambua lakini JK kuwa yeye ndiye muasisi wa barabara hiyo nayeye alikuwa mtumwaji tu,na amekiri asingeweza kuifungua cos muda wake ilikuwa umeisha
 
Zile sio bumps ni matuta ya viazi, hatua tano hilo!! Nikaulizia kwanini yapo karibu karibu hivyo, wenyeji wakasema eti ukanda huo kuna wasukuma wengi sana hivyo baada ya lami kukamilika ikifika jioni walikuwa wanajilaza barabarani kufuata kiubaridi na wanajifunika kabisa!! Wengi sana waligongwa hivyo kuwaokoa ndio ikabidi yawekwe hayo matuta!! Ila hata leo hii ukipita hasa maeneo ya mji wa RAELA, utakuta pembeni mwa barabara mtu amelala!! Yanauzi kweli ila barabara ilijengwa kwa kiwango sana!!
 
Amesema sifa zote zimfikiee Jakaya maana ilijengwa chini ya utawala wake ,yeye Magufuli akiwa waziri wake......
 
Zile sio bumps ni matuta ya viazi, hatua tano hilo!! Nikaulizia kwanini yapo karibu karibu hivyo, wenyeji wakasema eti ukanda huo kuna wasukuma wengi sana hivyo baada ya lami kukamilika ikifika jioni walikuwa wanajilaza barabarani kufuata kiubaridi na wanajifunika kabisa!! Wengi sana waligongwa hivyo kuwaokoa ndio ikabidi yawekwe hayo matuta!! Ila hata leo hii ukipita hasa maeneo ya mji wa RAELA, utakuta pembeni mwa barabara mtu amelala!! Yanauzi kweli ila barabara ilijengwa kwa kiwango sana!!
Ni barabara bora kabisa...ile zile bumps ni shida..ukikaa nyuma ya gari unarushwa kama furushi.
 
Nakubali!! Mwaka 2012 nlichaguliwa kujiunga na A-level Matai Sec, Kalambo, Rukwa nkitokea Mbeya Mjini. Mara ya kwanza naenda ilikuwa full vumbi, ila kakipande kadogo sana pale Laela. Na kutoka Sumbawanga mpaka matai hakukuwa na Lami ni full vumbi na mabonde.

Mambo yakaanza badilika kila tukienda likizo na kurudi vitu vilikuwa vinajengwa. Mpaka namaliza 2014, ilikuwa lami kwa sehemu kubwa naweza sema asilimia 90 ilikiwa lami. Wakati naenda chukua result slip kwa ajili ya kukamilisha usajili huko mbele, ilikuwa ni full lami kote mpaka nkasema hawa saivi wana enjoy maisha. Yani Tunduma to Sumbawanga Lami, Sumbawanga to Kalambo (Matai) nkiishia matai ilikuwa lami.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
WAKATI HIYO BARABARA INAJENGWA NI NANI ALIKUWA WAZIRI WA UJENZI KAMA SI MAGUFULI AMBAYE MNAMPONDA KISA KUZINDUA HIYO BARABARA AMBAYO YEYE MWENYEWE AMESHIRIKI KIKAMILIFU KUISIMAMIA UJENZI WAKE. TUSIJITOE FAHAMU KIHIVYO.
 
NI RAIS GANI KATIKA NCHI YETU HII YA TZ KUANZIA AWAMU YA PILI YA UONGOZI WA NCHI YETU AMBAYE HAJAWAHI KUZINDUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA AWAMU ILIOMTANGULIA?
 
Back
Top Bottom