Tusiruhusu siasa kwenye msiba wa mama yake zitto kabwe

Status
Not open for further replies.

Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
Kutokana na siasa majitaka wanaoifanya wana CCM juu ya viongozi wa chadema hati hawakwenda kumuona mama yake Zitto na kumufariji Mbunge huyo wa Kigoma nakanusha na kusema kuwa niwaongo wanafiki na wadhandiki napenda tu kuwambia Watanzania kuwa viongozi hao walienda nyumbani na hata alipokuwa hospitalini napenda kuwasihi wanaCCM waache siasa kwenye mambo ya kijamii kama msiba.

***Mwana Wa Geita***
 
duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,433
0
Kutokana na siasa majitaka wanaoifanya wana CCM juu ya viongozi wa chadema hati hawakwenda kumuona mama yake Zitto na kumufariji Mbunge huyo wa Kigoma nakanusha na kusema kuwa niwaongo wanafiki na wadhandiki napenda tu kuwambia Watanzania kuwa viongozi hao walienda nyumbani na hata alipokuwa hospitalini napenda kuwasihi wanaCCM waache siasa kwenye mambo ya kijamii kama msiba.

***Mwana Wa Geita***

kama walienda tuwekee picha kama ile ya jk
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom