Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kama chochote tunaweza kufanya inabidi tufanye sasa hivi ili kuzuia Mji wetu kukua bila kikomo na hatimaye kuwa MegaCity kama vile Lagos, Mexico City au Manila!
Uwezo wa kuzuia hili tunao ni swala la kujipanga tu na kuamua Serikali ifungue Mikoani kwa kuhakikisha pia huko huduma zote muhimu zinazopatikana hapa Dar zinapatikana pia hususani Ajira, tujaribu kujenga Miji yenye wastani ya watu laki tano kama mitano hivi na yenye watu laki moja kama 10 tukifanya havi hakika tutakuwa tumeuokoa Mji wetu wa kwenye hatari ya kuwa MegaCity!