Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.

Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.

Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?

Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.

Huna mpya wewe tuwachie tusafishe nchi iliyokuwa imechafuliwa kwa heshima za woga sasa tuko huru tukiwa na heshima ya ndani ya moyo na nafsi zetu wewe endelea na upumbavu wenu wa kumuabudu mtu ambaye ameshaondoka na kama huriziki na nchi inavyoendeshwa basi jinyonge ili ukaonane na kipenzi chako.
 
Nafikiri Magufuli angekuwa kweli anakerwa na uhuni wa baadhi ya wana CCM, angeliruhusu mabadiliko ya katiba ili "mifumo" bora isije kuwarudisha tena waibia taifa!

Lkn yeye alikuwa anajitengenezea uungu mtu, ili aonekane yeye tu ndie anaweza! Ndio maana kwakwe wabaya na wazuri wote alikuwa akuwashikisha adabu! Alikuwa mwovu tu
Umemaliza ndugu Mzizi wa Mbuyu .
Kongole sana.
Kama mwendakuzimu alikuwa anakerwa na uhuni wa CCM na kuwa na mapenzi mema na Tanzania, angetengeneza mifumo bora ya kiuongozi badala ya uungu mtu alioutengeneza.
Mhuni numbero uno ni yeye huyo.
 
Kweli JPM alikuwa mzito miezi 13 baada ya kufariki bado anatajwa, mnajua watu wengine akifa na lake linafutika fastaaaa.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom