Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,625
Ulikuja uzuri but hapa umeharibu, Hao ni walewale tu, walijibadilisha wakajiweka juu!, hayo mafanikio yangeletwa na Aboriginals ningesema sawa, but mzungu?manake hata Australia, Singapore, Japan, Brazil walitawaliwa kama nyie ila wao wakawa na vipaumbele vinavyomake sense. Wakafika hapo walipo.
Wanasema afrika ni kama jungle. Mnaishi kama wanyama.
Africa ni jungle sawa wamesema wao! unalia nini??, haimaanishi kuwa kweli ni jungle!
na sisi pia tusema EUROPE is full of Caucasian caves.
Kuona unanyimwa maendeleo ni akili yako, kwa nini usione km changa moto? kwa hiyo ukinyimwa unaacha?
si uwapige! ili upate upenyo! unataka upewe kwa kubembelezwa? unalaumulaumu tu.