Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

Kwahio unafikiri waliojiajiri wengi wamejiajiri kwasababu ya kukosa ajira?! 3m profit per month nayo hela? Pita kariakoo Tafuta unao wajua wakwambie mshiko unaotembea kwenye biashara. Tatizo mnaposema biashara mnaanza kuzungumzia maduka ya Mangi mtaani.
Hawa waajiliwa wa serikali vichwa vimelala 3M hela ndogo
 
Kingine...ujasiriamali Ni kutoka jasho la damu haswa.....kikubwa ili upite kwenye great boom(kutoka level moja Hadi nyingine ya kibiashara) katika biashara Ni LAZIMA Kuna sehemu ufanye kitu Cha hatari au mchongo mkubwa ili utoke stage moja ya kibiashara Hadi nyingine....ndio maana huyu ana duka la nguo..na Yule ana duka la nguo na eneo ni moja...lakini unakuta mmoja anampita mwenzie fasta kama kipanga...
 
Mawazo yako yanaweza kuonekana finyu kwa mtu ambaye ameshaingia kwenye biashara na kufanikiwa pakubwa.

Ni ngumu sana kumshawishi mtoto wa Bhakressa ambaye amekulia kwenye mazingira ya biashara na kuona hizi 500M-1B figures kama mauzo ya kila siku kwamba ajira ya kumlipa million 25 kwa mwezi ni bora kuliko biashara!

Ila ukija kwa mtu ambaye baba yake anaendesha duka ambalo faida zake ni kati ya 9000-12,000 kwa siku ni ngumu sana kumshawishi kuwa biashara ni bora kuliko kulipwa 2.5 millions per each month!

Ajira inategemea unaingalia in which dimensions! Kwa maisha ya sasa na uchumi wetu ulivyodorora mtu anayepata ajira ya kumlipa 3.5-5m ana unafuu mkubwa kuliko wafanyabiashara wengi wadogo wadogo wenye mitaji chini ya million 3!
Wacha mtaji wa 3m,
Hata wa 10m hauwezi kukupa 2.5m kwa mwezi,
Buashara ni ngumu siku hizi yaani hakuna biashara ya peke yako
 
Aliyeimba staki kazi yupo kisarawe anafanya kazi.
kijana alivyopata kazi hakufikiria mara 2

1636805320676.png

1636805092275.png
 
Mawazo yako yanaweza kuonekana finyu kwa mtu ambaye ameshaingia kwenye biashara na kufanikiwa pakubwa.

Ni ngumu sana kumshawishi mtoto wa Bhakressa ambaye amekulia kwenye mazingira ya biashara na kuona hizi 500M-1B figures kama mauzo ya kila siku kwamba ajira ya kumlipa million 25 kwa mwezi ni bora kuliko biashara!

Ila ukija kwa mtu ambaye baba yake anaendesha duka ambalo faida zake ni kati ya 9000-12,000 kwa siku ni ngumu sana kumshawishi kuwa biashara ni bora kuliko kulipwa 2.5 millions per each month!

Ajira inategemea unaingalia in which dimensions! Kwa maisha ya sasa na uchumi wetu ulivyodorora mtu anayepata ajira ya kumlipa 3.5-5m ana unafuu mkubwa kuliko wafanyabiashara wengi wadogo wadogo wenye mitaji chini ya million 3!
Umekuwa mtamu kuzidi tende.
 
Daah wabarbaig bwana... Yani tangu kuzaliwa kwako Hadi miaka 60..unategemea kupata million 90 au 100 Kama kiinua mgongo...Yani inakua ndoto za maisha yako Ni kuwa na millioni 90 au 100 kutoka kuzaliwa Hadi kuzeeka🤣🤣🤣...biashara ngumu lakini utatoka damu miaka 5-10..lakini growth yake iko sexy
Japo nimeajiriwa umeongea point
 
Daah wabarbaig bwana... Yani tangu kuzaliwa kwako Hadi miaka 60..unategemea kupata million 90 au 100 Kama kiinua mgongo...Yani inakua ndoto za maisha yako Ni kuwa na millioni 90 au 100 kutoka kuzaliwa Hadi kuzeeka...biashara ngumu lakini utatoka damu miaka 5-10..lakini growth yake iko sexy
Je mishahara ya miezi yote aliyolipwa kabla ya kustaafu umeuhesabu?
 
Kwanza kabisa naomba tuyaelewe haya makundi matatu

KUNDI LA KWANZA - MTU ALIEJIAJIRI / SELF EMPLOYED
View attachment 2008017View attachment 2008020

Huyu biashara inamuhitaji ili iende, yeye ndie ngvu kazi kuu ya kuieiendesha biashara kwa bidii yake na hata akiajiri bado yeye inabidi ahusike kwa level ya juu sana ili biashara iende, Wengi wao inabidi aende dukani kila siku alfajiri mpaka usiku, kutembeza bidhaa mitaani (machinga), fundi cherehani, n.k kundi hili mara nyingi asipoenda ofisini hakuna pesa inaingia hapo, akiumwa hakuna malipo, n.k Kundi hili kusema kweli hakuna uhuru, mtu ukiwa kundi hili usije kujichanganya hata siku moja kujifananisha na watu wa kundi la pili, pigana kufa kupona uingie kundi la pili

KUNDI LA PILI - MMILIKI WA BIASHARA / BUSINESS OWNER
View attachment 2008018View attachment 2008019

– Hawa sifa yao kuu ni kwamba wameajiri watu wengine wawasaidie kuzalisha pesa, Yeye anaweza akanunua kiwanja akapageuza kuwa car wash, vijana wanakuja kuosha magari, ikifika jioni anakuja kuchukua mgao wake. Anaweza akawa ni Mo au Bakhresa ikifika asubuhi watu wanawahi kwenda kwenye viwanda vyao kufanya kazi ili kuwatengenezea pesa na wao kulipwa mishahara, Kundi hili ndilo lina uhuru mkubwa mno kuliko makundi yote, Hawa ndio madoni!! watu wa kndi la kwanza huwa wanajichanganya na kujiona wapo katika kundi hili huku wakitembea vifua mbele kuliza swali maarufu la "nitaje tajiri alieajiriwa?" hapa huwa wanajiona kwamba nao wapo kundi hili kumbe wapo kundi la kwanza.

KUNDI LA TATU- ALIEAJIRIWA (EMPLOYED)

View attachment 2009001View attachment 2008023

– Huyu ana afadhali kuzidi huyo wa kundi la kwanza,
-kazi anayoifanya haifanyi peke yake huwa wanasaidiana na wengine kwa hio mzigo haujamuelemea
-Mshahara wake atalipwa hata akiumwa ama kuwa na sababu maalum ya kutofika kazini
- anaweza kuingia kazini saa 2 na kutoka saa 10 / 11 jioni na kupata muda wa kukaa na watoto kama mzazi.
-anapumzika siku za weekend zipatazo 104 , sherehe za kidini na sherehe za kiserikali siku 20, kkizo ya mwezi siku 30, n.k
-Kipatoo ambacho ni mshahara atakipata kwa uhakika bila longo longo, pia kuna posho
- Anapata status kwenye jamii mfano baba flani ni mwanajeshi, injinia, muhasibu, dokta, hakimu, n.k. ukipata tatizo flani anaweza kutumia nafasi yake kukusaidia.
-Huyu anaweza kuingia kundi la pili bila kupitia taabu za kundi la kwanza maana tayari ana mshahara na anapata mkopo bila longo longo unaoweza kuwa mtaji na ukagharamia mfanyakazi wa kumtengenezea fedha

TUREJEE KWENYE MAADA.....

Huwa nashangaa sana mtu wa kundi la kwanza anaeshinda dukani masaa zaidi ya 12, anapigwa na jua mchana akitembeza bidhaa, n.k na faida yenyewe haizidi hata elf 30 kwa siku, Sijui ni wapi anautoa ujasiri wa kumdharau mtu wa kundi la tatu kwa kauli kama "ajira ni utumwa" hapo ikumbukwe mwenzake anaiingiza mshahara kama wake au zaidi kila mwezi akiwa ofisini penye kiyoyozi, ana siku siku 150 kati ya 365 za kupumzika kila mwaka, akiumwa bado anapata analipwa, anaingia kazini saa 2 anatoka saa 11 jioni, kuna posho, anaweza kufungua biashara na kkuajiri wasimamizi, n.k,

Kauli nyingine ya kijinga ya kujifariji ni kuuliza swali "nitajie tajiri yeyote mkubwa nchini au duniani kote alietajirika kupitia mshahara?" Hapa mtu anaekuuliza hili swali nae kabweteka kabisa anajiona wapo kundi moja na bakhresa, hata hajui utofauti wake kwamba yupo katika kundi la mtu aliejiajiri lakini hao kina Bakhresa wapo kundi la Business owners (wamiliki wa biashara) hawa wana ajiri watu wawatafutie pesa, hata akiuchapa usingizi mpaka saa nne pesa inaingia tu.

Kuponda ajira ni utumwa ni kwa mtu aliejiajiri tukiachana na business owners ni sawa na "sizitaki mbichi hizi", nimeshushudia ajira zikitangazwa hata hao waliojiajiri wanazi shambulia sio mchezo, na hapo akipata ajira hata biashara yake ya zamani anaweza kuipiga chini,
Kuna vijana wengi tu wana miaka 28 wameajiriwa wanakunja mshahara zaidi ya milioni 2 kila mwezi na wamepiga hatua za ziada lufungua biashara zao wakiwa katika kundi la wamiliki wa biashara wanaoajiri wengine na sio kundi la kujiajiri, hata fred vunja bei alikuwa muajiriwa serikalini lakini akatumia mshahara wake kuwa business owner (ni tfauti na kundi la waliojiajiri)

Jiulize kwanini hata wazazi wengi wanaofanya biashara wanapeleka watoto kusoma na kuwaambia wasome ili wapate ajira?? kwanini wasiwaambie wasome ili wafanye biashara ?? hapa sizungumzii wafanya biashara wakubwa kama kina bakhresa, nazungumzia wafanya biashara kwa mfano wenye maduka ambayo faida kwa siku unakuta ni chini ya elf 40.

View attachment 2008022

View attachment 2008993
kutetea

Kuponda mfumo wa kujiajiri na kutukuza mfumo wa ajira kwa kutumia mazingira ya sasa ni kuikosea sayansi ya Uchumi madhubuti. Mazingira ya sasa yamelazimisha mfumo wa mzunguko wa pesa kwa sehemu kubwa kuanzia kwenye ajira. Wakati huo huo kumekuwa na mbinyo mkubwa wa kuruhusu pesa kuingia kwa kiwango linganifu kwenye mfumo wa kujiajiri. Mfumo wa sasa umewaachia watunzaji binafsi wa fedha kuamua ni eneo lipi pesa zao ziende. Kwa kulenga faida pekee, imethibitika kwamba waajiriwa wana nafasi nzuri inayowapa uhakika wenye pesa kupata faida.

Serikali kupitia wizara husika ni kama imejiondoa kwenye suala la kujiajiri kwa sababu ya changamoto zinazokabili sekta hii, ikiwemo uwezekano wa kupata hasara na kushindwa kufanya marejesho. Kupongeza na kuushangilia mfumo wa ajira ni sawa na kupalilia mgogoro wa ajira na kuwafanya wengi wafikirie kuajiriwa wakati ajira ni wastani wa asilimia 20 tu za soko la ajira. Mifumo ya upatikanaji mitaji kwa wanaojiajiri inatakiwa kuboreshwa na kujenga mifumo imara inayowalazimisha wanufaikaji kutopoteza pesa. Mifumo migumu ya kuzuia pesa inachangia sana kuiona sekta ya kujiajiri kupata ugumu na kujaribu kushawishi umma kwamba ajira ni bora kuliko kujiajiri.

Ili kuboresha mfumo wa kujiajiri ambao ndio unaozaa kumiliki biashara, ni muhimu kusema wazi kwamba ajira ni mbadala wa utumwa. Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu sisi sote tunajua kwamba dhamana ya mfanyakazi ni uzalishaji wenye tija na kuleta faida. Tumeona wengi wakifukuzwa kwa maamuzi ya mwenye biashara kwa sababu mbalimbali zikiwemo uzalishaji kupungua. Kama ambavyo tumeona baada ya janga la Corona, karibu nchi nyingi duniani watu wamepoteza ajira na hakuna wa kuwatetea. Dhamana ya ajira ni wakati unazalisha na kile unachozalisha kinaleta faida, Ukiondoa sekta saidizi ambazo hata kama sekta ya kujiajiri ingekuwa nzuri zaidi ya ajira, bado wangehitajika waajiriwa kwenye sekta saidizi za umma zinazotoa huduma kwa wananchi kama majeshi, hospitali, sheria na kadhalika.

Mataifa yaliyoendelea kama Marekani, uchumi wao unategemea ajira binafsi ambazo ndizo muhimili mkubwa wa uchumi wa viwanda, na mashirika makubwa ambayo baadaye yanatengeneza ajira yenye tija. Nchi zetu hizi ikiwemo Tanzania, itakuwa ni dhambi kubwa sana kutetea ajira na kudumisha sekta ya kujiajiri. Kwa kufanya hivyo, ni kama tunakinzana na lengo la kufikia uchumi wa viwanda. Watanzania wasaidiwe kujiajiri kwa kuanzisha viwanda vidogo kwenye mashamba yao vya kuboresha mazao yao. Vijana wawe na uwezo wa kuanzisha viwanda vidogo wakijiajiri katika kusindika mazao ya wakulima na wazalishaji wa msingi. Jamii ifike mahali ambapo kila anayeenda shule, anaenda ili kuongeza ujuzi wa kujiajiri na kuboresha mazingira anayoishi. Juhudi hizi zikipata usimamizi mzuri kutoka kwa wadau mbalimbali wasiokuwa na fitina, unafiki na ubinafsi, tatizo la ajira litapungua sana na kupunguza migogoro ya ajira.
 
Je mishahara ya miezi yote aliyolipwa kabla ya kustaafu umeuhesabu?
Mishahara ya wafanyakazi wengi inaishia kwenye rat race.....hivi Yani....kuamka asubuhi-kurudi jioni-kukopa katikati ya mwezi-mwisho wa MWEZI kulipa-....kinachobakia kidogo unasave..kabla hujakaa sawa matatizo nayo Yana Jambo lao na wew..Yani yanapukutisha saving zako...mwisho wa siku unakua kwenye mbio za panya...mtu inabidi akubali umri umeenda..inabidi sasa asubirie kiinua mgongo chake...ajifunzie biashara uzeeni😃😄😄...ikifeli kidogo Basi Ni stress mpaka pressure..kulaleki
 
Hapo umeongea yani! Biashara zikiwa zaidi ya moja utamudu vyema sana na hakika zitafikia maturity! Ama uwe na backup ya kazi.

Ila biashara ikiwa yenyewe tu ikiyumba unayumba nayo kama pipa la mbege mpaka mnaanguka wote pwaah!!! Biashara inataka booster za mara kwa mara pale ambapo inakuwa bado haijastawi na kuwa na wateja wengi wa kudumu..

Sasa imagine una 10M umelipa pango na mtaji wa kuanzia. Biashara inaenda inayumba inataka boost ya 3M ikae sawa. Huna hata mia hapo kinachofata lazma ulie tu na kuonekana huna akili
But kuna back-up ya mikopo...
 
Back
Top Bottom