citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,559
- 764
NapitaKwani Waziri Mkuu majukumu yamemshinda?
Huyu mama kutokujiamini kwake kunakopelekea kufanya kazi kwa kubahatisha, ujinga, na kuwaza 2025 ndio anaenda kutengeneza migongano ya majukumu kwa wasaidizi wake.
Matokeo yake wataanza kununiana kwenye korido na yeye ndie atakuwa chanzo cha kwanza kuikwamisha serikali yake kufikia malengo waliyojiwekea, halafu aanze kulalamika wasioendana na kasi yake atawaondoa, kumbe yeye ndie asiejua anakoelekea.
Namuona yuko vizuri kwenye kukopa tu.