Wengi wetu tunajua yaliyotokea huko ivory coast ambapo wagombea wa viti vya urais wawili wote wanadai wameshinda uchaguzi mkuu na kila mmoja kujitangazia waziri wake mkuu,naomba tujadili hili,katika kilio chetu cha kudai katiba mpya maana nchi hii bila katiba mpya mengi yatatokea siku za usoni ambayo pengine yatakua kama ya Ivory Coast au hata mabaya zaidi, tujadili tulinusuru taifa letu