Tusipokuwa makini, Tozo zitazalisha EPA nyingine au ufisadi Mkubwa mwingine

Mkuu umewaza mbali sana ukweli ni kwamba huo ujenzi wanaousema mbona huku mtaani hauonekani zaidi ya maneno tu, JPM alikuja na vitambulisho vya wajasirilia mali hili la tozo nalo lina walakini mkubwa sana, maana mna tozo huku mnakopa na wakati huo huo Tanzania ni donor country tuweni makini sana na hawa viongozi
 
Tozo zimeanza na mabarabara na vituo vya afya

Nazan haupo tanzania
Tunataka mchanganuo ni barabara zipi zinajengwa kwa tozo au ni vituo vipi vinajengwa kwa tozo na vituo vipi vinajengwa kwa Kodi nyingine na miradi ipi kwa hela ya mkopo.Sio tunaambiwa kijumla jumla.Madarasa mtwambie ni yapi yanajengwa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom