Tusipokemea Viongozi wa Kikiristo Wanaouza Unga, Nchi Itaharibika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusipokemea Viongozi wa Kikiristo Wanaouza Unga, Nchi Itaharibika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr.Right, Aug 5, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maneno ya JK kwamba viongozi wa dini wanauza unga, yana uzito mkubwa sana kwa jamii. Sasa hivi inabidi tukemee vikali vitendo vya hawa viongozi wa dini wanaouza unga. Tunaomba tamko kamili kutoka kwa viongozi wa dini kupinga jambo hili.
  Tusipokemea Viongozi wa Kikiristo wanaouza Unga, nchi itaharibika.
   
 2. M

  Mwera JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli,ila nchi tayari imeshaharibika kwa unga,vijana wengi wameangamia kwa huo unga cocaine,hakika tulikemee kwanguvu kubwa.
   
 3. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu una haraka gani?..
   
 4. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wakemewe viongozi wa dini wa kikristo tu? Na je kama kuna wa kiislam pia wanaojihusisha na hii biashara wao waachwe?
  Kweli ninyi watu laiti mngekuwa wengi mngeilipua hata hii nchi.
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Tukuletee vipaza sauti? Vya msikitini havitoshi! Go ahead n kemea biongozi wa kikristu at the top of ur voice!

  Hufikirii kulea vizuri watoto wako? Do u know how they r doing? Do u have time to listen to them! How much time do u spend with them, as a parent do u set a good example? Is ur home loving n peacefully? Do u know their friends? Do u invite them for lunch sometimes? Tafakari, chukua hatua!

  Ushauri wa jumla; drugs zitaendelea kuwepo for centuries! No matter nani kaleta; Kama twaweza zuia zisiletwe Mungu mkubwa. If not, l think it is high time now we start being parents, sio wanaoleta watoto duniani tu, If u know what l mean!
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Tutembelee jf forums vizuri, juzi muwakilishi mmoja wa z'bar alieleza kuwa sasa biashara ya madawa ya kulevya inafanya na watu maarufu(wabunge inclusive) akakemewa na kutakiwa kuleta ushahidi-akafuta kauli. Inasikitisha tunapoamua kuwa myopic dhidi ya biashara hii, nahisi kama mleta mada hana uelewa juu ya biashara hii ama anataka kuuupotosha uma.
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii pumba ilisha bandikwa hapa na mods wakaiondoa ... sasa imebandikwa tena

  huu ni uchochezi wa kidini ..... na huyu si mtanzania anayeitakia nchi yetu mema .... hivi umekosa mada za maendeleo ....?

  please REPORT ABUSE
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...