Tusiougua Mafua, Homa na Vifua Kipindi hiki ni Sisi tu 'tuliobarikiwa' Damu ya Group O+, hivyo tujuane ili 'tumshukuru' Mwenyezi Mungu

Mimi ni G A+ ila sina mafua hayo na huwa nachanganyikana sanaa na watu weny mafua ila hayanipati...cjui kwa vile ni mtu wa jogging sanaa?
 
Back
Top Bottom