Tusiopenda kufanya mazoezi tuna hoja, sababu na visingizio vya msingi sana; Tuvumiliane Tafadhali

We jamaa huu uzi wako nimecheka mwanzo mwisho, mi niko tofauti naweza kufanya mazoezi miezi mitatu au minne mfululizo halafu naacha.

Kifupi mazoezi yanataka commitment ukiwa mtu wa kujipa excuse utajipa kila sababu ya kuacha na utaona kila sababu ni sahihi

Fanya mazoezi ni muhimu kwa afya yako.
 
Kipindi nasoma O level ile miaka minne yote niliitumia kucheza Mpira na mazoezi ya karate.

Lakini baada ya kumaliza tu mitihani nilivyorudi home nikabaki nafanya mazoezi ya mpira Mara chache sana.

Baada ya miaka 20 kupita na kuwa na tumbo kama nimeweka mitambala niliaanza kujinyima kula ili kushape vizuri tumbo nikawa napungua mwili tumbo lipo vile vile nikashauriwa nipige push up daily.

Hivyo nimeanza sasa hivi Nina week ya tatu naona matokeo si mabaya sana.

Leo Juma pili hii mpaka sasa hivi nipo kitandani naperuzi JF sijapiga push up hata moja.
 
Nimesoma huu uzi, nikakumbuka nilinunua dhana za mazoezi, basi nikaamua na mm leo nianze na push up kumi.

nimepga tatu nikaghairi, nikasema ngoja niende ground nimevaa soksi nikaghair, sasa hivi nipo kitandani na soksi na nguo za mazoezi nacomment.
 

Mazoezi ni wito,yanataka ujisacrifice vinginevyo utajiambia mwenyewe kama Sikiri "nakufa hapa kwann wakati Sadiki ashiba chakula kingi kwa baba..",?? Utajirudia zako home mdogo mdogo huku Uvivu ukikupa tulizo la nafsi na burdani isiyoisha..Mazoezi yanataka ujikatae







































Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mungu Ibariki Gairo
 
Hiyo shida hata mie nanayo kuna wakati huwa nakomaa halafu nikipumzika naweza kata miezi hata mitatu
Nilishanunua kamba ya kuruka na nilikuwa naruka miluko mia 4 mpaka mia 6 leo nina mwezi sijafanya mazoezi
Ni uvivu tu
 
Uamuzi mzuri Mkuu tuachie tu sie wenyewe..kwangu ni sehemu ya maisha..nikiamka asubuhi jambo la kwanza ni mazoezi.
 
Nilipokua chuo mimi na jamaa zangu kama wawili tulijiandikisha gym tutafute sex bodies,enzi hizo six pack ziko on fire.

Siku ya kwanza kupiga mazoezi ya tumbo kesho yake tuliamka hata kukohoa hatuwezi matumbo yalikua yanauma hakuna mfano.Asubuhi kupiga mswaki ilikua shughuli pevu ila tukafarijiana kwa kuwa trainer alisema kadri unavyopiga ndo unazoea na maumivu yatapoa.

Siku ya pili tukajitahidi tukaenda, ila tukawa tunaanza kukata tamaa maana matokeo yalikua madogo sana ila kuumia kukawa kwingi.Nakumbuka hatukumaliza hata wik tukaacha tukijifariji kuwa kwanza tumekuja kusoma halafu hatuna hela ya kula vizuri haya mambo tutafanya tukianza kazi.

juzikati nmekutana na jamaa angu mmoja anamiliki bonge la wilaya ya "Namtumbo"...
 
Back
Top Bottom