Elections 2010 Tusiongozwe na hisia fact please!

Mtembezi

Member
Oct 28, 2010
43
0
Jamani wadau msitoe taarifa zisizo sahihi sehemu kubwa ya ushindi mliotangaza kutoka sehemu mbalimbali ...taarifa za tbc zinatangazwa kinyume kabisa
 
Jamani wadau msitoe taarifa zisizo sahihi sehemu kubwa ya ushindi mliotangaza kutoka sehemu mbalimbali ...taarifa za tbc zinatangazwa kinyume kabisa

mfano!
back up statement yako tafadhali
 
kichwa cha habari na ulichoandika haviendani kabisa. Una maana gani? unataka watu waamini matokeo ya TBC pekee?
 
No kwa mfano kuna wadau wamepost kuwa nchimbi ameshindwa songea wakati huohuo Tbc kupitia mwandishi wao Gaston Msigwa ameripoti kuwa Nchimbi ameshinda.wadau tupeni na takwimu
 
Raha ya matokeo ni facts na pia yawe yametolewa 80% ili kama kufurahia matokeo ndo kuanza badala ya kuanza kufurahia wakati matokeo yametolewa kwa labda 20% tu. Tukienda kwa hisia mwisho wake ndo watu wanaweza kuishia mitaani wakidhani matokeo yamegeuzwa, tuwe patience mpaka matokeo ya mwisho
 
Back
Top Bottom