Tusiongozwe na hisia fact please! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiongozwe na hisia fact please!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtembezi, Nov 1, 2010.

 1. M

  Mtembezi Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau msitoe taarifa zisizo sahihi sehemu kubwa ya ushindi mliotangaza kutoka sehemu mbalimbali ...taarifa za tbc zinatangazwa kinyume kabisa
   
 2. z

  zaklove Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp matokeo ya tabora na sehemu nyingine pls naombauni update
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mfano!
  back up statement yako tafadhali
   
 4. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kichwa cha habari na ulichoandika haviendani kabisa. Una maana gani? unataka watu waamini matokeo ya TBC pekee?
   
 5. M

  Mtembezi Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No kwa mfano kuna wadau wamepost kuwa nchimbi ameshindwa songea wakati huohuo Tbc kupitia mwandishi wao Gaston Msigwa ameripoti kuwa Nchimbi ameshinda.wadau tupeni na takwimu
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Raha ya matokeo ni facts na pia yawe yametolewa 80% ili kama kufurahia matokeo ndo kuanza badala ya kuanza kufurahia wakati matokeo yametolewa kwa labda 20% tu. Tukienda kwa hisia mwisho wake ndo watu wanaweza kuishia mitaani wakidhani matokeo yamegeuzwa, tuwe patience mpaka matokeo ya mwisho
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unapopinga hili unaleta lile na uthibitisho wake,
  maumivu yako usiwapelekee na wengine
   
Loading...