Tusiombee mabaya Rais wetu na Taifa, let us think twice!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Wajinga wachache kama sio wapumbavu wamekuwa siku zote kupost post zakuvunjaa moyo kukatisha tamaa serikali na kufanya mambo unaweza fikiri huenda ni warundi ama wanyarwanda sio wazawa wa taifa hili.

Kila jambo anafanya huyu Rais watu mna muhujumu what if na rais akiamua wahujumu mnao muhujumu mnafikiri mtaweza hata nyanyua vidole juu kama Tundu Lissu jana au mtakuwa kama panya waliokula sumu na wanasubiri muda kuondoka.

Hivi kazi anayo fanya rais wetu ni kwa faida yake na ukoo wake ama ni kwa maendeleo ya taifa hili na kizazi kijacho. Mbona tumekuwa wajinga na wapumbavu tusiojua taifa hili limetoka wapi na wapi tunaelekea. Siasa maji taka na upinzani uchwara mnataka hili taifa lisitawalike na kuona watu wanauwana na kumsaliti rais wao na Serikali yake?

Basi mimi nasema haitotokea maana watu tulimuomba Mungu tunajua taifa linaenda wapi na bila shaka litafika nyie msioamini msiamini maana hamtakuwepo that tine watu wanafurahia matunda ya awamu ya tano.

Watanzania tusiwe wajinga na tujiongeze.
 
Taifa ni la Watanzania wote, atimize wajibu wake kwa haki na hakuna atakaye mpinga.
 
Akutendaye mtende, mche hasiyekutenda.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Yani na wewe ulimuombea na huo utitiri wa matusi?
Nchi inaungua wewe unasubiria matunda?
 
Katiba yenye kukidhi haja za wananchi Ndiyo kitu muhimu kuliko chochote kile na bila kuhakikisha anasimamia kuandikwa basi hayo machache anayoyafanya itakuwa kazi bure maana akimaliza muda wake atakaekuja madarakani atafanya yaleyale ya "chukua chako mapema" Na yeye anasema hiyo haikuwepo Kwenye ajenda wakati wa campaign ! Cha kujiuliza hivi Kumbe Mtu atafanya Yake anayo sema wakati wa campaign tu?
 
4743f164d6301315fa30b1ea504e9763.jpg

Kwa hisani ya JF
 
Kwaio anayowafanya upinzan yanakufurahisha co?
Shubamiiiiit we ulikua wa kupelekwa kibiti
 
Jamaa unapendaga sana biti za kitoto

Kama vile biti za form two kwa Njuka Wa form one

Wewe kama unayaona mazuri sifia .. sisi ambao hatuyaoni tuache tukosoe

Umesema nchi imetoka wapi.. goosh si iko chini ya utawala wa CCM and bado ni ccm hiyohiyo kiwanda cha majizi kinatawala
 
Wajinga wachache kama sio wapumbavu wamekuwa siku zote kupost post zakuvunjaa moyo kukatisha tamaa serikali na kufanya mambo unaweza fikiri huenda ni warundi ama wanyarwanda sio wazawa wa taifa hili.

Kila jambo anafanya huyu Rais watu mna muhujumu what if na rais akiamua wahujumu mnao muhujumu mnafikiri mtaweza hata nyanyua vidole juu kama Tundu Lissu jana au mtakuwa kama panya waliokula sumu na wanasubiri muda kuondoka.

Hivi kazi anayo fanya rais wetu ni kwa faida yake na ukoo wake ama ni kwa maendeleo ya taifa hili na kizazi kijacho. Mbona tumekuwa wajinga na wapumbavu tusiojua taifa hili limetoka wapi na wapi tunaelekea. Siasa maji taka na upinzani uchwara mnataka hili taifa lisitawalike na kuona watu wanauwana na kumsaliti rais wao na Serikali yake?

Basi mimi nasema haitotokea maana watu tulimuomba Mungu tunajua taifa linaenda wapi na bila shaka litafika nyie msioamini msiamini maana hamtakuwepo that tine watu wanafurahia matunda ya awamu ya tano.

Watanzania tusiwe wajinga na tujiongeze.
Chief achana nao wapuuzi hao hawajui wanataka nini. Wana vichwa vya samaki ni hawa hawa walisema taifa hili linahitaji kiongozi dikteta kwa hali ilipofikia. Mbaya zaidi kuna ambao akili zao zimeshikwa hawajui hata wanatetea nini kazi kusubiri Lissu kasemaje...!!!
Wengine Walikuwa wapinzani kumbe hata kodi walikuwa hawalipi then wanaiponda serikali inashindwa kuwaletea maendeleo wananchi wake
(refer kelele za wapinzani kwa serikali ya Kikwete).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hizi akili za Lissu inabidi ziwekwe sawa, akae jela muda mrefu ili akitoka awe kama Lema aimbe mapambio na kuombea watu.
 
Wajinga wachache kama sio wapumbavu wamekuwa siku zote kupost post zakuvunjaa moyo kukatisha tamaa serikali na kufanya mambo unaweza fikiri huenda ni warundi ama wanyarwanda sio wazawa wa taifa hili.

Kila jambo anafanya huyu Rais watu mna muhujumu what if na rais akiamua wahujumu mnao muhujumu mnafikiri mtaweza hata nyanyua vidole juu kama Tundu Lissu jana au mtakuwa kama panya waliokula sumu na wanasubiri muda kuondoka.

Hivi kazi anayo fanya rais wetu ni kwa faida yake na ukoo wake ama ni kwa maendeleo ya taifa hili na kizazi kijacho. Mbona tumekuwa wajinga na wapumbavu tusiojua taifa hili limetoka wapi na wapi tunaelekea. Siasa maji taka na upinzani uchwara mnataka hili taifa lisitawalike na kuona watu wanauwana na kumsaliti rais wao na Serikali yake?

Basi mimi nasema haitotokea maana watu tulimuomba Mungu tunajua taifa linaenda wapi na bila shaka litafika nyie msioamini msiamini maana hamtakuwepo that tine watu wanafurahia matunda ya awamu ya tano.

Watanzania tusiwe wajinga na tujiongeze.
Yaani kumuweka Doto James na nduguye pale hazina ndiyo kufanya kazi kwa niaba ya vizazi vijavyo. Acha fix bana
 
Unatawala unabadilika chief, kama unahisi undugu ndiyo unaofanya kazi basi wait akitoka utaingia utawala mwingine usiomjua Joseph kama yeye alivyopangua wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti hadi vizazi vijavyo Kwa katiba hii hii iliyopo? Kubadilisha mifumo ni pamoja na kuandika katiba yenye matakwa ya wananchi walio wengi! Na ili mazuri yawe endelevu ni lazima kuwepo na katiba ambayo yeyote atakaekuja badae atapaswa kuifuata! Ikibaki hii iliyopo akiondoka yatakuwa yaleyale !
 
Back
Top Bottom