Tusiogope Kifo, maana ukiwepo inamaana kifo hakipo, kama kifo kipo kimekutokea inamaana haupo, mnakwepana

Ila ukiwa mgonjwa taabani unakuwa na mawazo ya kufa yaani unajitambua kabisa kuwa mimi tena siyo wa duniani hata maongezi yako kwa wale wanaokupatia huduma /kukuangalia yanabadilika
 
halafu cha kushangaza hufi wala nini.siku ambayo hata mawazo huna ndio ntolee
 
Back
Top Bottom