GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,871
Kuna Vitu vingine havivumiliki na kwa Sisi wengine ambao hatujaumbwa na ' Unafiki ' huwa hatupendi kuviacha vikapita hivi hivi. Anayemsema leo Rais JPM kuwa anateua tu Watoto wa Wakubwa na Wastaafu arudi nyuma katika Historia ya Uongozi nchi hii kuanzia Awamu ya Kwanza hadi ya Nne kisha aniambie kama huu ' utaratibu ' ulikuwa haufanyiki.
Tumezidi sasa Kumsakama Rais JPM tubadilike. Kwanza kuna Faida kubwa Kumteua Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Uongozi / Utawala kuliko Kumteua tu Mtu ' Mshamba / Mbwigira ' aliyetokea zake tu huko Kyaka Nkunde, Ikupilipa Nkoba na Mbwinde ambaye anakuja Kuanza kuwapa Watu taabu ya Kumuongoza na Kumsimamia hata katika Uchaguaji na Uvaaji wa Suti na Tai huku wengine wakibidi hadi waelekezwe jinsi ya Kukaa katika Magari yao na mambo mengineyo mengi tu ( Nimechomekea tu Utani hapa tafadhalini )
Mimi kama Rais JPM amewateua hao Watoto wa ' Vigogo ' halafu kumbe hawana Sifa hapo naweza kama kawaida yangu nikamchana / nikamsema hapa ' Mubashara ' kabisa ila kama amewateua au anawateua halafu na wenyewe kumbe wana Sifa stahili basi namwomba Mheshimiwa Rais aendelee Kuwateua kwa Kadri anavyotaka na atakavyojisikia na wala GENTAMYCINE sioni tatizo lolote hapo sana sana tu naanza kuona tabia mbaya ( Kajiutamaduni kabaya ) ambapo Watanzania wa sasa tumeanza kuwa na Wivu pamoja na Chuki za ' Kipopoma / Kipumbavu ' kwa Wenzetu ambao ni Watoto wa Viongozi ambao wanateuliwa katika Nyadhifa / Nafasi mbalimbali. Naiona hii kama aina moja wapo ya Ubaguzi kati ya zile Tatu ( 3 ) kubwa zilizopo.
Hongera tu Kwake Mheshimiwa Rais kwa ' Kumtumbua ' Mtoto wa aliyekuwa mwana ' Eagle Wing House ' Mwandamizi Mzee Mbogho aitwae Aoron ( Aron ) nadhani hapa wana Mtaa wa Mkadini Oysterbay mnaelewa vyema na ' Kumteua ' Mtoto wa aliyekuwa mwana ' Eagle Wing House ' Mwandamizi Mzee Mwang'onda aitwae Thomas ambaye nadhani wana Mitaa ya Bongoyo hadi Jirani na Shule ya Msingi ya Oysterbay mnaelewa vyema tu.
Nawasilisha.