Tusimuogope Rais Magufuli, tuache unafiki kashashindwa na kapaniki

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,206
2,000
Mitano hii inamtosha......Wapi Kachero mbobezi ??? Kula jalamba baba uokoe jahazi maji mengi unga kidogo!!
 
The-Monk

JF-Expert Member
Sep 7, 2018
371
250
Habari za wanajamvi,

Nimekaa kwa muda kidogo bila kuandika masuala ya siasa.

Nchi imeingiliwa iko katika mikono ya Magabachori na magabachori ya haki za watu, na Afya za Watanzania.

Najiuliza maswali kila wakati kwanini Watanzania wanamuogopa Magufuli? Magufuli si Mungu walla malaika, hivyo ana sifa zote za binadamu wa kawaida.

Magufuli alivyo kama binadamu wa kawaida, anakosea kwenye mawazo mengi anayotoa. Si kila analosema ni sahihi, mzee huyu inabidi achukue ushauri wa watu.

Magufuli kama walivyo wengine, anaweza kuwa na visasi, tuyachunguze kila ayafanyayo -- si Malaika.

Magufuli kama walivyo wanadamu wengine, anaweza kuamini mambo ya tiba mbadala, na kuacha kuipa nafasi sayansi na utaalamu kwenye Covid-19.

Magufuli si Malaika na tunajua binadamu wa kawaida huwa washamba, naye anaweza kuwa mshamba kwa baadhi ya Masuala kama binadamu wa kawaida.

Magufuli siyo Yesu, siyo Mungu. Watanzania acheni uoga.

Britannica
Ww umefanya jambo gan
i baada ya kulijua hilo
 
Kataskopos

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,335
2,000
Hamna mtu anamwogopa wenye nafasi za kumtoa hapo ndio hao anazunguka nao kila kona, Mkuu wa majeshi, Director wa Usalama, Mkuu wa Polisi na hao Deep state na hilo bunge dhaifu kwenye historia ya nchi hii

Sasa kama hao wameshindwa majukumu yao basi wafanye wengine

Watu wamekaa kimya kufuata protocol haiwezekani wapo wa chini yao wafanye yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee....
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,825
2,000
Rais wetu JPM, JPM ameziba mianya ya upigaji sasa CDM, mafisadi na vibaraka wao wanahangaika..

Rais wetu mzalendo, anapiga kazi na Watanzania tunampenda. JPM oyee, awamu ya tano oyeee..tuchape kazi tu...
Weka na kibwagizo basi....
 
Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,412
2,000
Habari za wanajamvi,

Nimekaa kwa muda kidogo bila kuandika masuala ya siasa.

Nchi imeingiliwa iko katika mikono ya Magabachori na magabachori ya haki za watu, na Afya za Watanzania.

Najiuliza maswali kila wakati kwanini Watanzania wanamuogopa Magufuli? Magufuli si Mungu walla malaika, hivyo ana sifa zote za binadamu wa kawaida.

Magufuli alivyo kama binadamu wa kawaida, anakosea kwenye mawazo mengi anayotoa. Si kila analosema ni sahihi, mzee huyu inabidi achukue ushauri wa watu.

Magufuli kama walivyo wengine, anaweza kuwa na visasi, tuyachunguze kila ayafanyayo -- si Malaika.

Magufuli kama walivyo wanadamu wengine, anaweza kuamini mambo ya tiba mbadala, na kuacha kuipa nafasi sayansi na utaalamu kwenye Covid-19.

Magufuli si Malaika na tunajua binadamu wa kawaida huwa washamba, naye anaweza kuwa mshamba kwa baadhi ya Masuala kama binadamu wa kawaida.

Magufuli siyo Yesu, siyo Mungu. Watanzania acheni uoga.

Britannica
Huenda wangeacha Kuogopa na Kumuogopa kama Watanzania wangeambiwa walipo akina Saa Nane na Azory Gwanda Ndugu.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,843
2,000
hivi sisi tungekuwa tuna kufa kama hao.
si tungemla nyama magufuli?.
swali umeona raia wa nchi hizo zilizoathirika na corona vibaya ZIKILAUMU SERIKALI ZAO?

Sent using Jamii Forums mobile app
..Wamarekani wanamlaumu Raisi Trump na serikali yake.

..ukumbuke kwamba pamoja na kuwa Wamarekani wamepigwa lockdown, lakini serikali yao inawapa fedha za matumizi muda wote ambao hawaendi makazini.

..Raisi Trump analaumiwa kwasababu serikali yake ilikuwa na taarifa kuhusu ugonjwa wa corona lakini taarifa hizo hazikufanyiwa kazi kwa kuchukua hatua za kujikinga.
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,560
2,000
Habari za wanajamvi,

Nimekaa kwa muda kidogo bila kuandika masuala ya siasa.

Nchi imeingiliwa iko katika mikono ya Magabachori na magabachori ya haki za watu, na Afya za Watanzania.

Najiuliza maswali kila wakati kwanini Watanzania wanamuogopa Magufuli? Magufuli si Mungu walla malaika, hivyo ana sifa zote za binadamu wa kawaida.

Magufuli alivyo kama binadamu wa kawaida, anakosea kwenye mawazo mengi anayotoa. Si kila analosema ni sahihi, mzee huyu inabidi achukue ushauri wa watu.

Magufuli kama walivyo wengine, anaweza kuwa na visasi, tuyachunguze kila ayafanyayo -- si Malaika.

Magufuli kama walivyo wanadamu wengine, anaweza kuamini mambo ya tiba mbadala, na kuacha kuipa nafasi sayansi na utaalamu kwenye Covid-19.

Magufuli si Malaika na tunajua binadamu wa kawaida huwa washamba, naye anaweza kuwa mshamba kwa baadhi ya Masuala kama binadamu wa kawaida.

Magufuli siyo Yesu, siyo Mungu. Watanzania acheni uoga.

Britannica
Sijui una maana gani kusema hivyo ulivyosema!
Magufuli ni Rais wa JMTZ tunamheshiim.
Kwahiyo kauli yake ni muhimu iheshimiwe pia kwa nafasi aliyonayo. Ndiyo maana mawaziri, wakuu wa vyombo vyote vya usalama wanatii kauli yake.
Mamlaka hayo amepewa kikatiba.
Badala ya kusema wananchi wasimwogope ungesema wafanye nini kama JPM anatumia mamlaka yake vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,825
2,000
Hakuna wa kuweza kumkatisha tamaa mtasema yote lakin rais wetu ataendelea kuwa bora kila kunapokucha. Kwa sasa ndiye rais bora kabisa duniani. Maana yote anayoyatenda na kuyasema yanaleta matokeo chanya nchini mwetu. Hata hao mnaowasifia wanafata nyayo zake.

Hivyo acheni kumuonea wivu kwan ameonyesha uwezo mkubwa sana wa kiuongoz na imejidhihirisha waz kwamba nafasi aliyonayo hakuipata kwa bahati mbaya. Leo hata itokee kua na rais mmoja tu dunian basi mh magufuli pekee ndo anayefaa kuiongoza dunia maana wote wamesalim amri ktk msimamo wake.

Rais wetu endelea hivyohivyo na sisi wananch wako wazalendo tuko nyuma yako. Tutaendelea kukuombea kwa mungu ktk uongoz wako mpaka uifikishe tz pale unapopataka. Mungu ibariki tanzania, Mungu mbariki rais wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona karibu mwezi wa tatu sasa yuko mafichoni uvunguni karibu atakakozikwa?
 
Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,547
2,000
Rais wetu JPM, JPM ameziba mianya ya upigaji sasa CDM, mafisadi na vibaraka wao wanahangaika..

Rais wetu mzalendo, anapiga kazi na Watanzania tunampenda. JPM oyee, awamu ya tano oyeee..tuchape kazi tu...
Udhaifu wa Miaka mine wa Magufuli umekuwa ukifichwa kwa point za kipuuzi Kama Hizi. Hahahaha. Nani kakuambia mianya imezibwa, watu bado wanapiga, labda wewe sijui uko nchi gani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom