Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
hureeeeeeeeeeeeeeeeeee,kama tumeshindwa kupata namba kwenye michezo,uchumi,nk hata hizi nafasi adimu tuzikose?rais alishasema asipoenda nje mtakufa njaa,
bravo dk jakaya mrisho kikwete kwa vile sifanyi kazi serikalini na sitegemei pesa ya nchi hii masikini kwa lolote nakushauri badili katiba ugombee tena 2015 nakupa kura yangu.