ubaya wa spika ni pale anapobaka uhuru wa wabunge kuchangia katika mijadala na hasa wabunge wa chadema,tafadhaliMbona iko vizuri tu wakuu!!
Mbona hao tunaosema wanaMi-degree sijui ya kitu gani wamechemsha vibaya? Ona Waziri wa umeme ana degree sijui ya kutoka Harvard University (Chuo kinachoheshimika duniani) lakini anafanya madudu gani hapo? Njoo kwa Mkulu sijui naye eti ana shahada ya uchumi (tena kutoka UD) nini amefanya kwenye uchumi kama siyo uchumi-a tumbo!
Madam speaker tusimwonee amesoma wazee!! Pia tukumbuke kuwa enzi hizo (sikumbuki kama mpaka sasa hivi) Advanced Diploma ilikuwa sawa na shahada ya kwanza mtu alikuwa anaweza kutoka hapo na kuingia Masters kwa kutumia hiyo hiyo Advanced Diploma yake. mimi
Mama umesoma ila unachemsha ki-CCM CCM tu! Mbona wenzio huko kwenye chama nao wanachemsha pamoja na mi-degree yao!!!