WATAALAM MSIKUBALI KUPAKWA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA
Taasisi kubwa ya elimu kama Chuo kikuu inapomtunuku cheti cha PHD mtu ambaye hastahili kwasababu tu ni [HASHTAG]#Kiongozi[/HASHTAG] au [HASHTAG]#mwanasiasa[/HASHTAG] na anaweza kuwasaidia personally wataalam husika (waliompa cheti kwa hisani) mbeleni ni hatari sana kwa afya ya elimu ya nchi hiyo hasa kama kiongozi / Mwanasiasa huyo atapata fursa ya kuwa kiongozi wa juu kwani anaweza kuwaumbua ikiwa atashindwa kuitumia elimu yake kwa vitendo.
Mtu anayedhaniwa kuwa na PHD anaposhindwa hata kujieleza kwa lugha ya Kiingereza ambayo ndio lugha ya mtaala aliotumia kutokashule ya sekondari mpaka chuo kikuu (wastani wa miaka 17) athari za [HASHTAG]#UBABAISHAJI[/HASHTAG] huo haziishii kwa mtu huyo pekee bali pia huwafanya watu waanze kujiuliza kuhusu [HASHTAG]#UHALALI[/HASHTAG] wa vyeti vyote vya ngazi zote walivyopewa viongozi na wanasiasa wote waliopitia katika chuo hicho.
Mbaya zaidi ni pale wataalam wa chuo husika wanapofurahia uteuzi wa nafasi za kisiasa kama hisani ilhali nafasi hizo zinawanyima uhuru wakufikiri na kutenda kwa weledi badala yake wanalazimika kuweka elimu zao mfukoni na kuishi kama kasuku wakingojeakuiga sauti ya bosi wao tu.
Kama chuo kinaweza kutoa zawadi ya cheti halali cha PHD halisi ambayo ni kiwango cha juu kabisa cha elimu kwa mtu asiyestahili kwasababu tu ni Mwanasiasa au kiongozi. Jiulize ni [HASHTAG]#zawadi[/HASHTAG] ngapi za vyeti vya kawaida katika ngazi za [HASHTAG]#Diploma[/HASHTAG], [HASHTAG]#Degree[/HASHTAG], [HASHTAG]#Masters[/HASHTAG] na vinginenevyo vimetolewa na chuo hicho kwa viongozi au wanasiasa?
Wasomi wa [HASHTAG]#vyeti[/HASHTAG] bila maarifa hawawezi kulisaidia Taifa hili chunguza tu Kiwango cha elimu na Ufanisi wa baadhi ya viongozi wa nchi yako wanaodhaniwa kuwa na elimu [HASHTAG]#KUUUBWA[/HASHTAG].