Tusikubali misaada ya uingereza kama kigezo ni kuhalilisha laana ushoga Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mh!!kaka/dada umeongea vizuri sana ten amunoo!!very simpo analysis...........kwamba wao wamehalalisha ushoga na walipa kodi ni hao mashoga zao akiwemo cameron......so what!! tunapokea misaada ya mashoga which means we are gays virtually!!

napenda sana watu wanaofanya analysis kama hii.ndo mana jk inabidi tu aendelee kukaa kimya.hao wanaoropoka needs to sit down and analyse..hehee we are all gays eti yerewiiiiiii
 
Misaada kama misaada haina shida!Kibaya ni Masharti ya misaada Husika,kama masharti yanalenga kulazimisha Nchi Idharau misingi ya Heshima,Utu na Haiba ya watu wake basi misaada hiyo ni ya Kijinga na si ya kuipokea wala kuikubali!"Mtu mwenye akili akikuambia kitu cha Kipumbavu wakati akijua na wewe unaakili timamu ukakikuba anakudharau!JK
Hakuna kitu kama hicho. Nathing is free my friend. Misaada ina matatizo kibao sema mengine yanakuwa yamejificha lili uyaone lazima ubungue bongo kwelikweli. Kila mtoa masaada antanguliza maslshi yake zaid sema hili la uingereza lipo wazi zaidi. Na hii ni kwa sababu wazungu kwa sasa hawana haja tena ya kutumia mbinu kali kutu deal kwa kuwa tume tokea kuwa wepes wa kufikiri kuliko viongozi wa zama hizo ambapo ilbidi mzungu achemshe bongo hasa ili kumwibia mwafrika.
 
Kwani mtu anapopenda na kuamua kuwa shoga kunatatizo gani?Je kama mnasema Mungu amekataza kitu hicho nadhani mnatumia vitabu kama Quran na Biblia ambavyo ni mwongozo wa dini. Je Tanzania ni taifa la dini au vipi?Kama ni mambo yamakatazo ya dini yasiingilie privacy na haki ya mtu.
USHOGA SIO DHAMBI.
 
tumesikia kauli nyingi za mapambano kati ya nchi yetu na uingereza juu ya suala la ushoga.bado sijajua ni vipi vijana wetu walioko huko wamelipokea swala hili nyeti linalotishia uhusiano kati ya mataifa haya mawili.vijana wetu wako salama kiasi gani?wanaonyesha tabia gani wakiwa huko majuu?isije ikawa bw david cameron anatetea maslahi ya jamii kubwa inayojumuisha watanzania.naomba kuona vijana wa kitanzania wanaoishi uingereza watoe kauli yao yenye kuonyesha msimamo wao juu ya uhalali wa ushoga nchini.
ni hayo tu kwa leo nawahi kunywa kahawa nitarudi!
 
Nadhani umelewa kahawa unayokunywa. Kwenye thread yako umeandika msimamo wa watz waishio uk kuhusu ushoga. Halafu unauliza tena maswali kuhusu wtz waishio uk juu ya ushoga. Usikurupuke mkuu.
 
Nadhani umelewa kahawa unayokunywa. Kwenye thread yako umeandika msimamo wa watz waishio uk kuhusu ushoga. Halafu unauliza tena maswali kuhusu wtz waishio uk juu ya ushoga. Usikurupuke mkuu.

kijana soma threads nyingine huwezi kumuelewa jingalao kama wewe sio great thinker.
 
UZEMBE NA UFISADI wa viongozi wetu ulichukua mimba na umezaa umaskini mkubwa nchini, nao umaskini ukakomaa ukachukua mimba unataka kilizalia taifa letu mtoto aitwae ushoga nao ushoga utalliua taifa na kulipeleka jehanamu. Watanzania wenzangu tusikubali ndoa za jinsa moja kwani vitabu vitakatifu vinaukataza badala yake tupambane na ufisadi na uzembe wa viongozi wetu ili rasilimali zetu zitusapoti la sivyo ADHABU KALI zaidi ya ILE YA SODOMA NA GOMORA inakuja. naomba kuwasilisha
acha upuuzi wewe! Jina la Membe unalipenda sana weye? kosa lake nini sasa hapa?? toa masaburi yako hapa!!!
 
Kwani mtu anapopenda na kuamua kuwa shoga kunatatizo gani?Je kama mnasema Mungu amekataza kitu hicho nadhani mnatumia vitabu kama Quran na Biblia ambavyo ni mwongozo wa dini. Je Tanzania ni taifa la dini au vipi?Kama ni mambo yamakatazo ya dini yasiingilie privacy na haki ya mtu.
USHOGA SIO DHAMBI.
shida ni kutojua asili yetu. Suala si dini,ni utamaduni wetu
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom