Tusikubali kutumika kama ngazi ya kuwanufaisha wanasiasa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
11,705
2,000
Najua wanaumia sana lakini ukweli ni lazima usemwe baadhi yao walishajimilikisha majimbo yakawa kama moja wapo ya kitendea kazi cha kuwasaidia wao na familia zao.

Pia, nathubutu kusema au nakisia wengi wao walitumia asilimia kubwa ya viinua mgongo vyao katika kampeni wakijua baadhi ya majimbo kwa mujibu wa mazoea yao kuwa ni mali yao na kwamba muda sio mrefu kwa kupitia ruzuku maisha yangelikwenda mubashara la hasha mambo hayakuwa sawa kwa vile walivyodhania matokeo yake ni madeni juu ya madeni.

So please wagombea wote uchaguzi umeshamalizika na kosa kubwa ni kutolazimisha katiba mpya kwanza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi so ghadhabu zenu nyie wachache zisituletee tafrani sisi sote watanzania kwa ujumla wetu vumilieni jipangeni upya karibuni kitaa

#Haandamanimtuhapa
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
16,869
2,000
Sasa wewe unafikiria bunge kutenga pesa kwa ajili ya kuwapa wabunge maana yake hizo pesa wazitumie kufanyia nini?

Hakuna siyependa pesa, ila hatumpendi yule anayetumia pesa kutesa wengine kwa kukodi majeshi ya nchi nyingine kuja kupiga raia ambao anadai kua wamekichagua chama chake kwa kura za 80%
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,822
2,000
Anaemshauri mwenyekiti wenu wa CCM, njia anayompeleka anampotosha sana. Na nyinyi (Wana CCM pamoja na viongozi wa dini wanaojali matumbo) mnae msifia kila kitu hata akikosea au akiingia chaka, mmempotosha sana.

Mlimfanya aamini kwamba yeye ni mfano wa kuigwa, hata kwa yale aliokua/anayo kosea. Mmempotosha sana.

Picha aliojijengea kichwani kwake (Kutokana na nyinyi kumpotosha) na picha iliopo sasa hivi kidunia (kihalisia) ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mmemfanya aonekane kama "ADUI WA DUNIA" anaepingwa kila kona ya dunia na kila kukicha, asie na rafiki wa kweli, ana watu wachache sana wenye kumsifia na kumfanya aamini mambo ambayo hayapo, watu chache wanaojali matumbo yao tu. Kamwe hawezi kusimama "YEYE VS DUNIA", na hawezi kushinda hilo pambano.

Dunia haitajua Polepole au Bashiru au watapia tumbo ndio wanaomshauri kufungia mitandao/kuua/kukandamiza demokrasia/kuvuruga uchaguzi kwa kuiba kura, itajua ni maamuzi na mawazo yake ndio yamefanya yaliofanyika.

Na tunapoelekea, mtaifanye Tanzania iangamie.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
11,705
2,000
Sasa wewe unafikiria bunge kutenga pesa kwa ajili ya kuwapa wabunge maana yake hizo pesa wazitumie kufanyia nini?

Hakuna siyependa pesa, ila hatumpendi yule anayetumia pesa kutesa wengine kwa kukodi majeshi ya nchi nyingine kuja kupiga raia ambao anadai kua wamekichagua chama chake kwa kura za 80%
How can you proof ya kwamba tanzania ilikodi majeshi? Unataka kusema wanajeshi wote walitolewa makambini na kwenda kwenye uchaguzi kiasi kwamba hawakutosha mpaka tukaazima nje?
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,791
2,000
Najua wanaumia sana lakini ukweli ni lazima usemwe baadhi yao walishajimilikisha majimbo yakawa kama moja wapo ya kitendea kazi cha kuwasaidia wao na familia zao,pia nathubutu kusema au nakisia wengi wao walitumia asilimia kubwa ya viinua mgongo vyao katika kampeni wakijua baadhi ya majimbo kwa mujibu wa mazoea yao kuwa ni mali yao na kwamba muda sio mrefu kwa kupitia ruzuku maisha yangelikwenda mubashara la hasha mambo hayakuwa sawa kwa vile walivyodhania matokeo yake ni madeni juu ya madeni

So please wagombea wote uchaguzi umeshamalizika na kosa kubwa ni kutolazimisha katiba mpya kwanza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi so ghadhabu zenu nyie wachache zisituletee tafrani sisi sote watanzania kwa ujumla wetu vumilieni jipangeni upya karibuni kitaa #Haandamanimtuhapa
Unadhamiria unaloongea au hata hujui unamaanisha nini?

Kama unasema walijimilikisha majimbo, je vipi wa CCM kuhusu majimbo na nchi yetu? Au wao ndio wenye nchi wengine ni wapangaji? Lolote unaloongea kuhusu wapinzani ujue na CCM linawahusu kwa kiwango kile kile.
 
nyongolwe

JF-Expert Member
May 25, 2020
283
250
Najua wanaumia sana lakini ukweli ni lazima usemwe baadhi yao walishajimilikisha majimbo yakawa kama moja wapo ya kitendea kazi cha kuwasaidia wao na familia zao.

Pia, nathubutu kusema au nakisia wengi wao walitumia asilimia kubwa ya viinua mgongo vyao katika kampeni wakijua baadhi ya majimbo kwa mujibu wa mazoea yao kuwa ni mali yao na kwamba muda sio mrefu kwa kupitia ruzuku maisha yangelikwenda mubashara la hasha mambo hayakuwa sawa kwa vile walivyodhania matokeo yake ni madeni juu ya madeni.

So please wagombea wote uchaguzi umeshamalizika na kosa kubwa ni kutolazimisha katiba mpya kwanza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi so ghadhabu zenu nyie wachache zisituletee tafrani sisi sote watanzania kwa ujumla wetu vumilieni jipangeni upya karibuni kitaa

#Haandamanimtuhapa
fisiem bhana mnatabirika sana au kwa vile mlio wengi ni akili ndogo?topic tu bila hata kuichambua nishajua ni wale 'team washamba"
 
ho chi minh

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
31,454
2,000
Ujinga ni kuamini kila mwana ccm ana akili ndogo,
Basi eleweni akili hiyo ndogo ndo imefanya mkaanza kulia kama hivi.

Na kwa ujuaji wenu huu wa kutukana na kuakaidi kila jambo mtabaki kupoteza kama haya yaliyowakuta.

Nyie haiwezekani kila kitu mkakijua, lazima ifike mahali mjifunze kutoka kwa wengine.

FB_IMG_1603967883993.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom