figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Wakuu,
Sisi bado tunajikongoja kwenye usafiri wa anga. Inavyoonekana hawa Ethiopia wanataka kutushusha chini na kutudidimiza tusiinuke.
Baada ya sisi kununua ndege Tatu, wao wameamua kufanya sifa nankuonesha ubabe wao. Sasa ili kuwakomesha, tupige marufuku ndege zao Bombadier Q400 kufanya biashara nchini mwetu,vinginevyo tutalia.
Ndege tatu tu makelele kibaoo... Hata tunaanza kuondoleana utaifa na uzalendo.. Hawa wakija tusilaumiane.
Shirika la Ndege la [HASHTAG]#Ethiopia[/HASHTAG] (Ethiopian Airlines), limetangaza kununua ndege 10 aina ya Bombadier Q400, kwa gharama ya USD 332, lengo likiwa ni kupanua soko lake barani Afrika.
Ndege hizo zimelengwa kwenda katika maeneo ambayo viwanja vyake haviwezi kuhimili ndege kubwa.