Tusijisahau na kujiziuka: Hakuna Mbunge wa CCM atakayepinga muswada wa sheria kandamizi Bungeni

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
275
802
Ndugu zangu tusije tukajisahau na kujiziuka kwa sababu ya itikadi ya kisiasa. Kwa uzoefu wa miaka hii mitano. Hakuna mbunge wa CCM ambaye ataupinga mswada wa sheria kandamizi ulioletwa au utakaoletwa na serikali bungeni. HAKUNA.

Tumeona haya kwenye bunge la Ndugai na Tulia. Tumeona sheria nyingi kandamizi zikipitishwa na wabunge "Ndiyoooooo".

Tumeshuhudia marekebisho ya sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikipitishwa kwa mbwembwe na ilivyokuwa kitanzi kwa watanzania.

Tumeshuhudia mjadala wa mabadiliko ya kikokotoo cha pensheni jinsi wabunge wa CCM walivyoitikia 'Ndiyooo' na kugonga meza. Kikototoo kandamizi kilisitishwa na rais mpaka 2023 ( watumishi wa kuelewa wataelewa)

Tumeshuhudia jinsi wabunge wa CCM walivyofurahia kuondoa FAO la kujitoa kwa kuitikia "Ndiyooo" huku wakipiga vigelegele, vifijo na kugonga meza. Mabadiliko haya yamekuwa ni kitanzi cha vijana kushindwa kujiajiri na kuajiri wengine.

Tumeshuhudia sheria mbalimbali kandamizi zikishangiliwa na wabunge wa CCM na kupitishwa kwa mbwembwe, bashasha, na furaha kama vile wapo kitchen party.

Sheria hizi zimekuwa ni vifungo na kuleta mateso makubwa kwa watanzania waliowachagua hawa wabunge kwa upendo mkubwa.

Bahati mbaya wabunge hawa wanakitumikia zaidi chama na serikali kuliko kuwatumikia wananchi.

Hivyo ndugu zangu, tusijisahau na kujiziuka. Hawa wabunge wa CCM watatuongezea mateso yetu kwa kusema Ndiyooooo pale serikali itakapopeleka mswada kandamizi na wa kuwatesa watanzania.

Tusijisahau, tusijiziuke. CCM ni ile ile, na wabunge wa CCM ni wale wale.
 
Itashangaza sana mtu mwenye akili timamu kumpigia kura mwana CCM
 
Kuchagua Chadema ni kuchagua vita, hawa watatuletea vita

Tutaichagua Ccm haina vita
 
Pia hakuna mbunge wa pingapinga aka wajasiriasiasa/wapinzani uchwara, atakae pitisha miswada ya maendeleo sababu wao wameumbwa kupinga maendeleo
 
Wawakumbushe kwani wahusika hawajapitia? Wapiga Kura wamejishajua wapi wanachagua, Sasa hivi muda uliobaki ni mgombea yupi atakuja na ajenda yakutokua na chuki na vyama vingine ili hivyo vyama wanachama wake wamchague na waone watakuwa salama.
 
Pia hakuna mbunge wa pingapinga aka wajasiriasiasa/wapinzani uchwara, atakae pitisha miswada ya maendeleo sababu wao wameumbwa kupinga maendeleo
CCM hawajawahi kuwa na miswada ya maendeleo,zaidi zaidi ni upigaji kupitia mwamvuli wa maendeleo
 
Ndugu zangu tusije tukajisahau na kujiziuka kwa sababu ya itikadi ya kisiasa. Kwa uzoefu wa miaka hii mitano. Hakuna mbunge wa CCM ambaye ataupinga mswada wa sheria kandamizi ulioletwa au utakaoletwa na serikali bungeni. HAKUNA.

Tumeona haya kwenye bunge la Ndugai na Tulia. Tumeona sheria nyingi kandamizi zikipitishwa na wabunge "Ndiyoooooo".

Tumeshuhudia marekebisho ya sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikipitishwa kwa mbwembwe na ilivyokuwa kitanzi kwa watanzania.

Tumeshuhudia mjadala wa mabadiliko ya kikokotoo cha pensheni jinsi wabunge wa CCM walivyoitikia 'Ndiyooo' na kugonga meza. Kikototoo kandamizi kilisitishwa na rais mpaka 2023 ( watumishi wa kuelewa wataelewa)

Tumeshuhudia jinsi wabunge wa CCM walivyofurahia kuondoa FAO la kujitoa kwa kuitikia "Ndiyooo" huku wakipiga vigelegele, vifijo na kugonga meza. Mabadiliko haya yamekuwa ni kitanzi cha vijana kushindwa kujiajiri na kuajiri wengine.

Tumeshuhudia sheria mbalimbali kandamizi zikishangiliwa na wabunge wa CCM na kupitishwa kwa mbwembwe, bashasha, na furaha kama vile wapo kitchen party.

Sheria hizi zimekuwa ni vifungo na kuleta mateso makubwa kwa watanzania waliowachagua hawa wabunge kwa upendo mkubwa.

Bahati mbaya wabunge hawa wanakitumikia zaidi chama na serikali kuliko kuwatumikia wananchi.

Hivyo ndugu zangu, tusijisahau na kujiziuka. Hawa wabunge wa CCM watatuongezea mateso yetu kwa kusema Ndiyooooo pale serikali itakapopeleka mswada kandamizi na wa kuwatesa watanzania.

Tusijisahau, tusijiziuke. CCM ni ile ile, na wabunge wa CCM ni wale wale.
Watz wengi wanasahau mapema madhira yanayoletwa na haya maccm, acha wanyooshwe tu.
 
Kuchagua Chadema ni kuchagua vita, hawa watatuletea vita

Tutaichagua Ccm haina vita
Bora kupigwa bunduki kufa mara moja, kuliko kukubali kufa kwa kuchomwa chomwa na kisu kidogo kidogo kila siku maisha yako yote
 
Jitokeze hadharani watu walenge shabaha, risasi zinapata kutu

Back
Top Bottom