Tusijifanye madaktari wakati proffession zetu sizo

Kama we ni kiongozi baki kiongozi, kama ni daktari kuwa daktari, kama wakitaka kutuua wanaweza kutumia ata chanjo ya Tetenas au Chanjo ya surua maana dawa kama zote tunategemea nje
We ukioteshwa tupe dawa, cha muhimu tuvuke salama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom