Tusijidanganye Bomoa bomoa na Mbweni, Mpiji kuna jambo pale!

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,219
12,933
Nimefatilia mahojiano ya mgogoro unaoendelea huko Mbweni kwenye bomoa bomoa waliyofanya juzi kwa usimamizi wa Askari, pale kuna ujanja unataka kufanyika nawaambia na kama ni eneo la bonde haruhusiwi kukaa mtu kwanini ardhi wameenda kupima viwanja 20*20? Si wanataka kuuza hivo?

Vyombo vya habari vikamulike kule kuna kitu wajanja wanataka kufanya sio bure, mbunge anampigia Mkuu wa Wilaya anakataa kuwa yeye hajui lolote wakati wabomoaji wanasema wametumwa na mkuu wa Wilaya? Mkuu wa Wilaya anaulizwa kwani huko nyuma mlikuwa na plan gani anajibu wakitaka kupanda miti! Kama wanataka kupanda miti wameenda kuweka bikoni za nini?

Wananchi wamepigwa mabomu huko Mbweni na hapo kwenye jiwe la shina la CCM kuna maganda sijui ya mabomu ya machozi! Huu unyama wa wapi huu?

Pia soma > Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu
 
Nimefatilia mahojiano ya mgogoro unaoendelea huko mbweni kwenye bomoa bomoa waliyofanya juzi kwa usimamizi wa Askari, pale kuna ujanja unataka kufanyika nawaambia na kama ni eneo la bonde haruhusiwi kukaa mtu kwanini Ardhibwameenda kupima viwanja 20*20? Si wanataka kuuza hivo?

Vyombo vya habari vikamulike kule kuna kitu wajanja wanataka kufanya sio bure, mbunge anampigia Mkuu wa Wilaya anakataa kuwa yeye hajui lolote wakati wabomoaji wanasema wametumwa na mkuu wa Wilaya? Mkuu wa Wilaya anaulizwa kwani huko nyuma mlikuwa na plan gani anajibu wakitaka kupanda miti! Kama waataka kupanda miti wameenda kuweka bikoni zanini?

Wananchi wamepigwa mabomu huko mbweni na hapo kwenye jiwe la shina la CCM kuna maganda sijui ya mabomu ya machozi! Huu unyama wa wapi huu?
Mods mbona mmetoa link ya mahojiano?

Gwajma hajawapeleka Birmingham, Marekani?
 
Huu ni mwanzo mbona badoo
Pic%20Layer_202111241813110.jpg
 
Wakati wanamiliki hayo maeneo serikali iliwaeleza hayo au ndio ile aliyechuma janga katoa kitu kidogo halafu aliyenunua janga kashindwa kufunika kombe ili mwanaharamu apite!?

Pole sana kwao kuvunjiiwa nyumba usawa huu unaweza kuchizika.
 
Utendaji wa serikali za mitaa ulikuwa wapi wakati hawa watu wanaanza kujenga. Serikali ingetakiwa hata sasa hivi watu wote mfano barabara ya mwai kibaki kutoka Moroco mpaka Africana wale wote wanaojenga au waliojenga kuzidi mawe ya viwanja vyao ingepitisha greda malema kabisa.

Kuna maeneo ya Azure kawe mpaka CTM round about watu wamezidisha kujenga nje ya mawe wangevunja mapema kabisa. Hata hii barabara ya Tegeta bagamoyo hifadhi ya barabara ingesafishwa kwa greda mapema haswa kuanzia mianzini mpaka bunju dawasco. Na maeneomyote hata kijitonyama watu wamejenga nje ya mawe ya viwanja wangevunjiwa mapema ili hata service road zipatikane.
 
Hapo walipovunja penyewe kuna nyumba ya aliyewahbkuwa mkuu wa wilaya kwasasa ni katibu wa CCM.
 
"Mimi ni Mama" Rais alisema hili toka moyoni, naamini Mama yetu hata liacha hili lipite kimya
Hawa wakuu wa Wilaya kuna muda wanataka kuwakosanisha Wananchi na Mama yetu SSH.
 
Back
Top Bottom