Tusijidanganye Bomoa bomoa na Mbweni, Mpiji kuna jambo pale!

Nimesikitishwa na Gwajima kutetea wavamizi wa maeneo ya watu!

Rev. Gwajima probably he is not well informed.

Gwajima maswala ya ardhi usifanye haraka kutetea usichokijua.
Sawa anawateteea serikali ilikua likizo mpaka watu wanajenga nyumba kama zile....leo unakuja kuwabomolea
 
Sawa anawateteea serikali ilikua likizo mpaka watu wanajenga nyumba kama zile....leo unakuja kuwabomolea


Ni Sawa lakini Somo hapo ni kuwa kabla ya kujenga lazima kuchukua tahadhari zote ili kuepuka usumbufu na hasara za kubomolewa kama hivyo.

Ndio maana kujenga kwa vibari kunasaidia kuepukana na usumbufu mkubwa ijapokuwa kuna urasimu mkubwa katika kutolewa hivyo vibari.
 
Kwa taarifa tu.KATIBU MKUU CCM AMEJENGA HAPO JIRANI,anategemea kuhamia mwez Dec 2021.
Hivyo ni maagizo toka kwa chogolo
Anahitaji wenyeji wake wasiwe walala hoi. Atachagua wale wazito ndio wajenge pale.

Jamani! Chama tunacho.
 
Back
Top Bottom