Tusije kuwalaumu jirani Kenya kwa haya

geek

Member
Feb 12, 2009
83
4
Ndugu zangu najua huenda hapa si mahali muafaka kuzungumza hili, lakini haya ndiyo mambo yanaturudisha nyuma. Hivi sasa wenzetu Kenya wanajipanga kunufaika na kuwasili kwa fibre optic cable.

Sisi tumeishia kelele za Miss Tanzania na siasa za mafisadi wasiokamatika. Si vibaya, lakini wenzetu wanafanya yote kwa pamoja na progress inaonekana. Mfano makampuni ya Kenya yamepata mikataba ya call centers kutoka Europe na America.

Kweli sisi tuishie tu kusoma e-mail? Soma hapa upate kujua yanayotokea.
 
Mbona sipaoni hapo pa kusoma aisee?
 
Back
Top Bottom