KiuyaJibu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 841
- 175
Utafiti uliopelekea kuandaliwa kwa hii report umefanywa katika sekta ya madini tu.Unajua kuna vitu vingine vinafanywa yaani unaweza tamani kuangua kilio kama siyo kudondosha chozi kwa kujisikia uchungu.Nafikiri wengi wa viongozi wetu wanafanya kazi kwa kutegemea nguvu za giza na ndiyo maana kwenye kila kitu hali ni mbaya mpaka unashangaa kuliko?!