Tusihukumu bila kujua

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Babu yangu Mzee Ismail Kisandu alipoteuliwa kuwa Waziri kwa jina feki utawala wa awamu ya tatu sikushangaa mpaka leo, na Baba yangu Mzazi Nalimi Kisandu alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya baadae Mkuu wa Mkoa kwa jina feki sikushangaa pia. Maana kila mmoja anapigania Nafsi yake. Ila mimi nilishagawagomea kuwa Feki na ndio maana hatukomeza moja. Maana Mimi Deogratius Kisandu napigania Nafsi yangu na Nafsi za Watanzania na Dunia kwa ujumla kwa uhalisia wangu.NAJITAMBUAAAA
 
Sasa kama unapigania maslai ya Watanzania ...kwanini
ulikubali kununuliwa na Ccm kwa Million moja na Nusu ...ujuwe Laana za chadema ndo zinakutesa...na njaa pia.
 
Sasa kama unapigania maslai ya Watanzania ...kwanini
ulikubali kununuliwa na Ccm kwa Million moja na Nusu ...ujuwe Laana za chadema ndo zinakutesa...na njaa pia.

hahahahahah, eti Deo aliahidiwa milioni 100 akapewa Milioni 1.5 akaamua kutukana......propaganda zenu ambazo hazina mkia wala shingo. Hamjui hata kubumba uongo maana nilipigiwa simu kutoka kahama nikaambiwa kama unavyosema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom