Tusifungiwe ndani, ila Mkakati wa kujikinga na mdudu huyu Tanzania mzima uwepo

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,974
6,776
Wakuu amani iwe nanyi.

Huenda Tanzaniaz tunalo tatizo japo sio kwa kiwango hicho tusemacho, ila tatizo lipo.

Nichukue muda huu kupitia kwa serikali, ipitishwe sheria ya nchi mzima kufanya Kama kile tulifanya mwanzo ,barakoa,maji tirilika,n.k
Itatusaidia Sana.

Pili,serikali inajua, so Kama vipi, shule za msingi inaweza zipumzisha kwa muda.

Kufungia watu ndani siungi mkono,ila taratibu za kujikinga kila mahala zaweza kurejeshwa,ngoma ikilia Sana hupasuka,tusizalau Mambo Kama HAYA

Tatu serikali njoo na tamko kuhusu chanjo, Kama vipi ifike anaetaka achome,
 
Wewe itakuwa ulishona barakoa na kutengeneza sanitizer uchwara Sasa unatafuta soko. Kafie mbali na uroho wako huu wa fedha

Hakuna korona. Ukifa ujue umekufa kwa magonjwa mengine. Hiyo mibange unayovuta ndiyo itasababisha kifo chako.. jifungie mwenyewe.
Wenda ulikua na ujumbe mzuri,but umezidiwa na muhemuko, na wenda unavyeti but hujaelimika, sikia sio mtu wa matusi ila kwa muhemuko wako, kabla ya tarehe Kama hii fika mwakani mungu akashughulike na wewe, utavaa mpaka nguo ya viraka, Kama unakibanda, utakiuza, na imekua
 
Mzee hataki sijui anafurahia kila siku misiba?
 
Wakuu amani iwe nanyi.

Wenda tz tunalo tatizo, japo sio kwa kiwango hicho tusemacho,ila tatizo lipo.

Nichukue mda huu kupitia kwa serikali,ipitishwe sheria ya nchi mzima kufanya Kama kile tulifanya mwanzo ,barakoa,maji tirilika,n.k
Itatusaidia Sana.

Pili,serikali inajua,so Kama vipi, shule za msingi inaweza zipumzisha kwa muda.

Kufungia watu ndani siungi mkono,ila taratibu za kujikinga kila mahala zaweza kurejeshwa,ngoma ikilia Sana hupasuka,tusizalau Mambo Kama HAYA

Tatu serikali njoo na tamko kuhusu chanjo, Kama vipi ifike anaetaka achome,
Mbona ulishaambiwa nawamikono, vaa barakoa, ikishindikana kabisa Tumia Nyungu. Au we we unatakajeee??
 
Wenda ulikua na ujumbe mzuri,but umezidiwa na muhemuko, na wenda unavyeti but hujaelimika, sikia sio mtu wa matusi ila kwa muhemuko wako, kabla ya tarehe Kama hii fika mwakani mungu akashughulike na wewe, utavaa mpaka nguo ya viraka, Kama unakibanda, utakiuza, na imekua
Wenda=Huenda
Muhemko=Mhemko
 
Nioneshe wapi walipozuia watu kuisha kwenye janga hili la korona wewe mwerevuu. Na kama wapo tupe mbinu walizofanikisha kuzuia vifo.
Umejazwa ujinga mwenzako anazunguka na madaktari na watalaam wengine na kazi anafanyika nyumbani kwake wewe hata hela ya kukodi boda ni shida, tumia akili jomba acha ujinga
 
Umejazwa ujinga mwenzako anazunguka na madaktari na watalaam wengine na kazi anafanyika nyumbani kwake wewe hata hela ya kukodi boda ni shida, tumia akili jomba acha ujinga
Kumbe tiba ya korona ni kwa akili zenu wanaufipani nikuzungukwa na madaktariiii?? Hongereni kwa ugunduzi huo.
 
Waanze na vyombo vya usafiri jamani. Bajaji, hasa dala dala na myendo kasi ni janga
 
Covid 19 ilishindwa kuwaangamiza waafrika kama ilivyotarajiwa na baadhi ya wenye agenda za siri. Sasa bara la Africa limekumbwa na aina nyingine ya Covid 501-2v ambayo imetengenezwa na kuongezwa makali ili waafrika tupungue duniani.

Tanzania imevamiwa na strain mpya ya Covid 501-2v ambayo inauwa watu wengi nchini Zimbabwe na South Africa.
 
Serekali ipi unayoizungumzia?Hii ya lidubwasha lililokimbilia mafichoni chato?Kwa taarifa yako Kenge huwa hakubali kuwa ameumia ni mpaka damu zitoke masikioni!
 
Kuna tangazo la magari yanayobeba maiti kulipa tozo ya milioni moja,hebu fikiria wakifa watu million moja serial in it's in gila sh ngapi kupitia hii tozo mpya na zingine kama hizi zitakazoibuka pindi maiti zikianza kuazagaa barabarani kama alivyosemaga yule beberu myahudi koko wa US
 
Hizo shule za msingi kuna walimu na staff wengine Nani atawalipa?.
Kuna vitu vigine ukivitamani vitakutokea kweli
 
Back
Top Bottom