Tusifanyike waganga wa kienyeji kwenye mtandao baada ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusifanyike waganga wa kienyeji kwenye mtandao baada ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Oct 6, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,476
  Likes Received: 5,716
  Trophy Points: 280
  kama mjuavyo uchaguzi uko karibuni na si muda tutapata rais aliechaguliwa na MUNGU kama tuaminivyo sauti ya MUNGU sauti ya watu
  ni fuuraha yangu kuomba hata baada ya uchaguzi tuendelee kuwepo hapa ila tuangalie maneno yetu tsijeonekana waganga wa kienyeji kwenye mtandao..unajua akuna kitu kibaya kama kwenda kwa mganga akakushauri hiki na siku ya mwisho ukakikosa akika atatamani kujiua ama kukimbia vivyo hivyo si haba kuona lista ya wana JF ikipungua baada ya uchaguzi wa october.....chonde chonde wapenda tusijekuwa waganga wa kieneyeji baada ya MATOKEO..nawatakia kila la kheri
   
 2. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Baada ya uchaguzi mjadala mkubwa utakayekuwepo hapa JF ni CCM WALIIBA KURA!!!Akina Mwanakijiji watakuja na makala ELIMU YA URAIA BADO TANZANIA!!!nk nk
   
Loading...