Tusifanye shule sehemu ya mateso, chakula shuleni ni jambo la lazima na la muhimu ambalo limetelekezwa na Serikali

Hata shule zao zilizoko nchini ISM, IST, Watoto wanakula njema, hakuna viboko, wanasomea laptop na wanaenda kuvumbua vitu vikubwa.
Nafikiri kuna uhusiano mkubwa kati ya viboko na mentality ya kitumwa. Wazungu hawahitaji viboko, lakini mie navikubali vilinishepu.
Otherwise ningekuwa mkulima na mvutaji bangi huko milimani.
Nikikumbuka matukio ya viboko yaliyonifanya niache utoro, niwe mtii, nisikilize nachoelekezwa ni mengi.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Hahaha. Kuna ukweli flan. Kwasababu sisi wamatumbi bila mboko yani. Ndo maana mjerumani alikuwa anatandaza mboko nakusema mwafrika bila mboko mambo hayaendi
 
Back
Top Bottom