Tusifahamu siri zetu wenyewe

Maalim Jumar

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
1,447
Likes
31
Points
145
Maalim Jumar

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2010
1,447 31 145
☆☆KIGANJA CHAKO☆☆

♡Kiganja au viganja vyetu vimekusanya siri nyingi ambazo zinatuhitaji kuzitambua.

☆Wataalam ni wachache wanao uwezo wa kulijua hilo na wao wakatueleza kwa ufasaha wake.

☆Unapofahamu siri zako inakuwezesha kufanya mambo yako yote kwa uhakika bila kupata mashaka yeyote.

☆Na hili nitalielezea hapa kama ifuatavyo:

•Ikiwa kiganja chako katika hili eneo ambapo kuna kivuli cha rangi nyekundu kitaonekana alama ya nyota.
Utambue wewe mhusika utakua ni mtu mwenye bahati za kumiliki mali na kupewa heshima kubwa ( umaarufu) na kupata mvuto wa hali ya juu kutoka kwa jamii utayokuepo.

---!!!---

Mawasiliano:

+255 713 351 781.
Whatsapp pia.

☆Yuotube: MAALIM ABALHASAN.

☆Facebook: MTABIRI WA NYOTA NA TIBA.

♡Ahsanteni wote.

☆Nawapendeni wote.
20190207_161451-jpeg.1020241

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Messages
2,098
Likes
1,955
Points
280
Age
28
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2015
2,098 1,955 280
mmeanza tena baada ya kukimbizwa songwe na jombe mmehamia jf.maalim hivi hicho kitabu umekitumia kwa miaka mingapi kuulia wasio na hatia.kitabu cha haki kama ilivyo dini ya haki

cc faiza foxy
 
mkia

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
364
Likes
193
Points
60
Age
31
mkia

mkia

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
364 193 60
☆☆KIGANJA CHAKO☆☆

♡Kiganja au viganja vyetu vimekusanya siri nyingi ambazo zinatuhitaji kuzitambua.

☆Wataalam ni wachache wanao uwezo wa kulijua hilo na wao wakatueleza kwa ufasaha wake.

☆Unapofahamu siri zako inakuwezesha kufanya mambo yako yote kwa uhakika bila kupata mashaka yeyote.

☆Na hili nitalielezea hapa kama ifuatavyo:

•Ikiwa kiganja chako katika hili eneo ambapo kuna kivuli cha rangi nyekundu kitaonekana alama ya nyota.
Utambue wewe mhusika utakua ni mtu mwenye bahati za kumiliki mali na kupewa heshima kubwa ( umaarufu) na kupata mvuto wa hali ya juu kutoka kwa jamii utayokuepo.

---!!!---

Mawasiliano:

+255 713 351 781.
Whatsapp pia.

☆Yuotube: MAALIM ABALHASAN.

☆Facebook: MTABIRI WA NYOTA NA TIBA.

♡Ahsanteni wote.

☆Nawapendeni wote.
View attachment 1020241

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sijaelewa. Rudia tena halafu umeziba hapo hiyo nyota inaonekanaje maalim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,331
Likes
555
Points
280
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,331 555 280
nilikua najua mambo mengi nikiwa mdogo kuhusu kiganja, na hasa sura ya mtu nilikua na kawaida nikimtizama mtu najihisi nimeivaa sura yake kabisa yani najihisi mimi ni yeye
nilikua nasikilizwa na wenzangu hata nitoe uongo gani walikua wananiamini wengine wanakumbuka hadi leo na kuamini nilivyokua nawatungia
All in all kwa kutumia kiganja chako cha mkono wa kushoto unaweza kujua mtoto wa kwanza wa baba yako, kivipi

ukijiangalia mkono wa kushoto(si tofauti na huo) kuna mistari iliyotawala kiganja imegawanyika ihesabu ukiona ipo minne jua mtoto wa baba yako wa kwanza ni mwanaume/ au mtoto wa mume wako wa kwanza ni mwanaume

ukihesabu ukakuta ni mistari mitatu3 jua mtoto wa kwanza wa baba yako ni mwanamke / au mtoto wa mumeo wa kwanza ni jinsia ya kike hata kama alikufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msemachochote

Msemachochote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
967
Likes
611
Points
180
Msemachochote

Msemachochote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2016
967 611 180
nilikua najua mambo mengi nikiwa mdogo kuhusu kiganja, na hasa sura ya mtu nilikua na kawaida nikimtizama mtu najihisi nimeivaa sura yake kabisa yani najihisi mimi ni yeye
nilikua nasikilizwa na wenzangu hata nitoe uongo gani walikua wananiamini wengine wanakumbuka hadi leo na kuamini nilivyokua nawatungia
All in all kwa kutumia kiganja chako cha mkono wa kushoto unaweza kujua mtoto wa kwanza wa baba yako, kivipi

ukijiangalia mkono wa kushoto(si tofauti na huo) kuna mistari iliyotawala kiganja imegawanyika ihesabu ukiona ipo minne jua mtoto wa baba yako wa kwanza ni mwanaume/ au mtoto wa mume wako wa kwanza ni mwanaume

ukihesabu ukakuta ni mistari mitatu3 jua mtoto wa kwanza wa baba yako ni mwanamke / au mtoto wa mumeo wa kwanza ni jinsia ya kike hata kama alikufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha jf wote wana waume sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,331
Likes
555
Points
280
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,331 555 280
cabo

cabo

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
857
Likes
447
Points
80
cabo

cabo

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
857 447 80
nilikua najua mambo mengi nikiwa mdogo kuhusu kiganja, na hasa sura ya mtu nilikua na kawaida nikimtizama mtu najihisi nimeivaa sura yake kabisa yani najihisi mimi ni yeye
nilikua nasikilizwa na wenzangu hata nitoe uongo gani walikua wananiamini wengine wanakumbuka hadi leo na kuamini nilivyokua nawatungia
All in all kwa kutumia kiganja chako cha mkono wa kushoto unaweza kujua mtoto wa kwanza wa baba yako, kivipi

ukijiangalia mkono wa kushoto(si tofauti na huo) kuna mistari iliyotawala kiganja imegawanyika ihesabu ukiona ipo minne jua mtoto wa baba yako wa kwanza ni mwanaume/ au mtoto wa mume wako wa kwanza ni mwanaume

ukihesabu ukakuta ni mistari mitatu3 jua mtoto wa kwanza wa baba yako ni mwanamke / au mtoto wa mumeo wa kwanza ni jinsia ya kike hata kama alikufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtoto wa kwanza wa baba vipi yani wakati mimi ndio wa kwanza mbona unatinganya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,331
Likes
555
Points
280
godimpare

godimpare

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,331 555 280
Sasa mtoto wa kwanza wa baba vipi yani wakati mimi ndio wa kwanza mbona unatinganya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
we ndo wa kwanza kwa baba yako angalia mkono wa kushoto kwa uthibitisho kama jinsia yako ni mwanaume hesabu utakuta mistari ipo minne na ukiwachunguza wanaokufutia wote mistari yao itakua minnr kama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,319
Members 485,560
Posts 30,120,637