Tusiende kwenye Pati ya Kimarekani Ohio; Twendeni DC Ubalozini/Kwa Billal tuka rally!

Bonge la point. Ndo maana nikasema ukiacha ku assume utaweza kunishawishi. Nilijua nimeona kipaji!

Unapoanza kunishauri nisijali mambo ya nchi yangu bali nika invest wakati hunijui ndio unaanza kuharibu.

You see, nikichukua nondo ya Kinyamwezi nitashindwa kugombea Uungwana, siku nikijisikia kama mambo yenyewe ndio haya, anachofanya Mungwana hata mimi naweza! Nikiwa na ngoma za Kilatini kulia na kushoto ni kashfa kwa Mgombea wa Uungwana, siku za mbele, japo Muungwana alipeta. (Usisahau, wewe hupendi Siasa, mimi napenda Siasa). Njozi za Bling Bling na pati za Ohio wengine tulizifanya miaka ile, sasa hivi baadhi yetu tume pass the baton kwa wengine, ambao inawezekana ni kina nyinyi. Kwa hiyo endeleza jahazi mtu wangu, take over!

Unaona kwa nini vitu vinavyo mfaa BRAZAMENI vinaweza kuwa havimfai Kuhani Mkuu?

Ndo nilicho kuwa naongelea, don't assume anything. Usinishauri kutafuta vitu ambavyo wewe ndio umeanza kuvitafuta.

afro_hair.jpg
 
BRAZAMENI umeona mipigo ya mkulima Mizengo Pinda lakini? Katoka mbali from that acceptance speech day suit.
 
Mambo yote Bapes wewe.....unaishi wapi wewe...?

Dah Bathing Apes nayo naona kama inaanza kuingia kwenye kitabu cha historia kama evisu, hivi red monkey bado nayo iko kwenye chart? Ila mie kwenye maandamano nitakuwepo provide mtaniacha nikagonge mlango wa kwa Ballali maana kuna prize moja nzuri sana pale...;)
 
Icadon fafanua,

Kuna mshiko au unakuwa kama yule mchizi aliyekuwa anasalandia mabinti?
 
Dah Bathing Apes nayo naona kama inaanza kuingia kwenye kitabu cha historia kama evisu, hivi red monkey bado nayo iko kwenye chart? Ila mie kwenye maandamano nitakuwepo provide mtaniacha nikagonge mlango wa kwa Ballali maana kuna prize moja nzuri sana pale...;)

THATS MA NIGGA

itabidi tupeane face book page yake au vipi?
 
Chill out player!!! mbona una speed kama Maybach Exelero?
siku ya maandamano tafuta mtu aluyevaa
picture.php


Icadon,

How ironic, kuandamana against mafisadi huku umevaa T ya "The Ruling Elite"

Isn't that like self defeating?
 
Icadon,

How ironic, kuandamana against mafisadi huku umevaa T ya "The Ruling Elite"

Isn't that like self defeating?

Mkulu kwani mimi nimesema naenda kuandamana au nakwenda kufungua mlango tuu? alafu na sisi si ndio watawala wa kesho..kwenye siasa, biashara na mambo mengine!!!
 
Mmmh!

Ama kweli nimeamini kuwa This is food for thought, don't let it go to waste and while you are at it feel free to do the dishes.
 
sie tunaopenda wanawake utakuwa hutufanyii haki..kuna demu gani ataenda kwenda mamabo ya siasa?

hebu tupe nafasi mzee...achana na ganda la CCM...kwa taarifa yako wenye nchi ni watoto wa akina Malecela, Kawawa, Mkapa, Kikwete ,Rupia ect. Tafuta pesa, invest kiduchu bongo, hustle na biashara zako States, tafuta some nice ass Latina ..ukiweza mwife kabisaa and most importantly what you need is this:

passport2.jpg


and this:

newmoney.jpg


and how can you forget this:

wwdnh2.jpg


sasa haya mambo ya kuandamna ect etc waachie hao wanaojidai wanaipenda sana hiyo nchi kuliko baba yako na mama yako ambao mpaka leo hawajalipwa pesa za EAST AFRICAN COMMUNITY ...acha bwana...hivi wewe unajua kwa nini KINJE kapewa TENDA kila kona DAR?

chill out man



Duh !!!,


Kumbe Bwana Brazameni ni kichaa kabisa? sikujua vile; yaani hashindwi kukopesha ukichaa wake.

Sasa Bwana Brazameni, hebu tuambie, huyo binti uliyemwonyesha hapo juu ndiye shemeji/mkamwana wetu au vipi? Ni vizuri tuambiane wazi kusudi tukikutana naye mitaani tusije shawishika kumrarua papo kwa papo kumbe tukawa tunaingia kwenye anga za Brazameni.
 
Back
Top Bottom