Tusidanganyane: Ukiwa maskini huwezi kuwa mwanasiasa mwenye msimamo, Lowassa na Nape ni mifano hai

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,553
Wanasiasa maskini kiukweli ndio wanaoleta vurugu kwenye vyama kwa sababu wao wanawaza UGALI tu.

Mwangalie mzee Lowassa kwa mfano hana muda wa siasa za kienyeji enyeji yeye anaangalia siasa za maslahi mapana ya nchi.

Sasa njoo uwaangalie Nape na Prof Lipumba ni dhahiri wamejikita kwenye siasa za Chumia Tumbo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata wanaotetea madhambi kama ya watu kutekana,kupotea,upinzani kuhujumiwa,watu kupigwa risasi,n.k,nao hufanya hivi kumfurahisha mtu fulani ili awakumbuke kwenye ufalme wake na wewe mleta mada ukiwemo.
Kama alivyofanya mwanzisha thread johnthebaptist au siyo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom