Tusidanganyane: Sadio Kanoute Sio Box-2-Box Midfielder

kiukweli naona kanoute ana mindset ya ukabaji zaidi kuliko ya kushambulia kitu ambacho naona anafanana na lwanga,nashauri coach asianze na viungo wawili wote wenye asili ya ukabaji yaani kanoute na lwanga. kanoute anafaa apewe mikoba ya namba 6 huku 8 abaki bwalya na 10 ajibu aaminiwe apewe nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjambo.

Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC.

Wachambuzi wengi wa Kitanzania wametanabaisha kuwa Sadio Kanoute ni Box-2-Box midfield. Hilo nimelikataa kabisa.

Baada ya mchezaji huyo kuonekana kuwa hajaweza kuvaa vyema viatu vya Tripple C ndipo kundi dogo la watu likaamua kumpachika aina hiyo ya mchezaji. Kabla sijaendelea mbele nitoe maana zaidi ya nini maana ya Box-to-Box midfielder.

Box-to-Box midfielder: Ni kiungo wa kati ambaye mwenye kumiliki ufanisi wa hali ya juu katika box lake la ulinzi pale timu yake inapo shambuliwa na wakato huo huo ana uwezo wa kutimiza jukumu la usaidizi wa ushambuliaji katika box la mpinzani pia katika ufanisi wa hali ya juu.

Kiashiria kikuu cha kuamua kama kiungo ni Box-to-Box midfielder ni:
1. idadi ya tackles, take-ons na interceptions ambazo anazozifanya katika box lake la ulinzi.
2. Idadi ya Magoli, shots on target na assists ambazo anazozifanya katika box la mpinzani pale timu yake inaposhambulia.

Mfano halisi wa Box-to-Box midfielders ni kama vile Bastian Schweinsteiger, Yaya Touré, Patrick Vieira, Frank Lampard na Stven Gerrard.

Jambo la msingi unalopaswa kulifahamu kutoka hapo juu ni kwamba B2B Midfielder anapaswa kuwa na uwiano sawa wa kile amnachokifanya katika mabox yote mawili.

Tukirudi kwa Sadio Kanoute.
Katika mechi ya hivi karibuni dhidi ya Dar es salaam Young Africans SC hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 3.
Alifanya successful tackles 2 tu.
Na Interception 1
Mashuti 2 tu kati ya mashuti 12

Katika mechi dhidi ya TP Mazembe hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 4.
Alifanya successful tackles 1 tu.
Na Interception 1
Mashuti 0 tu kati ya mashuti 3

Hizi takwimu zinabainisha kutokuwapo kwa uwiano katika maeneo makuu mawili ambayo anapaswa kuwajibika katika uwiano ulio sawia.

Sadio Kanoute ni mchezaji bora kati ya wachezaji wote wa simba waliosajiliwa na waliopo kikosini hivi sasa, lakini tutakuwa tumeukosea heshima mpira wa miguu kama tukimuita B2B Midfielder.
Jifunze kutoa credits unaponakiri andiko la mtu mwingine.

Siyo sheria lakini ni uungwana tu
 
kiukweli naona kanoute ana mindset ya ukabaji zaidi kuliko ya kushambulia kitu ambacho naona anafanana na lwanga,nashauri coach asianze na viungo wawili wote wenye asili ya ukabaji yaani kanoute na lwanga. kanoute anafaa apewe mikoba ya namba 6 huku 8 abaki bwalya na 10 ajibu aaminiwe apewe nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Heee....
Sio mbaya ni maoni pia.
 
Hamjambo.

Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC.

Wachambuzi wengi wa Kitanzania wametanabaisha kuwa Sadio Kanoute ni Box-2-Box midfield. Hilo nimelikataa kabisa.

Baada ya mchezaji huyo kuonekana kuwa hajaweza kuvaa vyema viatu vya Tripple C ndipo kundi dogo la watu likaamua kumpachika aina hiyo ya mchezaji. Kabla sijaendelea mbele nitoe maana zaidi ya nini maana ya Box-to-Box midfielder.

Box-to-Box midfielder: Ni kiungo wa kati ambaye mwenye kumiliki ufanisi wa hali ya juu katika box lake la ulinzi pale timu yake inapo shambuliwa na wakato huo huo ana uwezo wa kutimiza jukumu la usaidizi wa ushambuliaji katika box la mpinzani pia katika ufanisi wa hali ya juu.

Kiashiria kikuu cha kuamua kama kiungo ni Box-to-Box midfielder ni:
1. idadi ya tackles, take-ons na interceptions ambazo anazozifanya katika box lake la ulinzi.
2. Idadi ya Magoli, shots on target na assists ambazo anazozifanya katika box la mpinzani pale timu yake inaposhambulia.

Mfano halisi wa Box-to-Box midfielders ni kama vile Bastian Schweinsteiger, Yaya Touré, Patrick Vieira, Frank Lampard na Stven Gerrard.

Jambo la msingi unalopaswa kulifahamu kutoka hapo juu ni kwamba B2B Midfielder anapaswa kuwa na uwiano sawa wa kile amnachokifanya katika mabox yote mawili.

Tukirudi kwa Sadio Kanoute.
Katika mechi ya hivi karibuni dhidi ya Dar es salaam Young Africans SC hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 3.
Alifanya successful tackles 2 tu.
Na Interception 1
Mashuti 2 tu kati ya mashuti 12

Katika mechi dhidi ya TP Mazembe hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 4.
Alifanya successful tackles 1 tu.
Na Interception 1
Mashuti 0 tu kati ya mashuti 3

Hizi takwimu zinabainisha kutokuwapo kwa uwiano katika maeneo makuu mawili ambayo anapaswa kuwajibika katika uwiano ulio sawia.

Sadio Kanoute ni mchezaji bora kati ya wachezaji wote wa simba waliosajiliwa na waliopo kikosini hivi sasa, lakini tutakuwa tumeukosea heshima mpira wa miguu kama tukimuita B2B Midfielder.
Hebu tupe elimu yako ya ukocha wa mpira wa miguu au match analyst

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Copy n' paste
 
Back
Top Bottom