Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,196
- 2,151
Kama mbinguni wataenda wenye moyo safi, na matendo mema basi matajiri karibu wote wataenda mbinguni. Nashuudia bwana Dr. Mtembei kwa msiomjua yeye ndie boss wa st Matthew, st marks, ujenzi, victory na kadhalika katoa cheque ya million 100 za ujenzi wa kanisa la eagt city center huku mtoni kijichi, hii ni desturi yetu matajiri wote ukianza na Mimi John D. Rockefeller, Vanderbilt, Andrew Carnegie, J.P Morgan, Ford hadi Bill Gates tunajitahidi kutoa na ku push the human race forward.
Uzi tayari.
Uzi tayari.