Tusidanganyane Kwaresma hii Wakristo waliofunga na kuitii kabisa hadi inamalizika hawazidi Watatu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,977
2,000
Kwa takribani karibia siku 40 zinatimia sasa za Mfungo wa Kwaresma ambapo tunakaribia pia kusheherekea Sikuu ya Pasaka hapo Keshokutwa ila kwa Wakristo wenzangu wengi niliokuwa nao na matendo ambayo wamefanya nitakayoyaorodhesha hapa ukweli ni kwamba waliofunga hasa Kwaresma hawazidi Watatu na tuliobaki wote tumetenda dhambi nyingi sana.
 1. Nimepishana sana na Wake za Watu Gesti Kwaresma hii
 2. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakiwateta wenzao Kwaresma hii
 3. Nimekutana na Vijana kadhaa wa Kikristo wakipanga njama ya kuiba Ofisini Kwao Kwaresma hii
 4. Nimeshuhudia Wanaume wengi sana wa Kikristo wakitembea na Watoto wa Shule
 5. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakidhulumu wenzao
 6. Nimeshuhudia Wakristo wengi mno wakidanganya tena bila woga wala aibu
 7. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakitega kwenda Makanisani japo Ijumaa Kuu hadi Jumapili na Jumatatu ya Pasaka watafurika / watajazana sana
Nashauri tu ' Ukristo ' huu tuwaachie tu ' Wamishionari ' na ikiwezekana tusione aibu kuwaambia waje wauchukue na Sisi tuendelee tu kubaki na Imani zetu za ' Kinafiki ' za Kiafrika ambazo pengine tumezizoea na tunazimudu kabisa.

Nawasilisha.
 
Duke Tachez

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
4,628
2,000
Pumbavu,halafu unakuta aliyeandika huu uzi ni jitu zima kabisa la miaka 40 lina mke na watotot,rubbish,empty set,zero brain
 
denoo49

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
6,106
2,000
Hata mi nimeshuhudia ndani ya kwaresima hii binadamu ananuliwa kama tenga la maparachichi, kwa kauli mbiu ya uungwaji mkono.
Nimeshuhudia ndani ya

Kwaresima hii jeshi la polisi likidanganya mpaka shetani akaogopa jinsi mwanadamu anavyoweza kudanganya kuliko yeye, mfano risasi kupigwa angani kisha ikaua raia aliye ardhini, na kwamba raia anaweza kujiteka alafu baadae raia huyo ananyimwa dhamana kwa kuhofia watekaji.

Nimeshuhudia ndani ya kwaresima hii binadamu anavyoweza kudanganya binadamu wenzake yeye ni "JIWE". Hapa hata shetani kidogo ajifiche au arudi kwa mbimguni kwa kumuhofia binadamu na tambo zake hapa duniani.

Nimeshuhudia ndani ya kwaresima hii raia anakwiba sanduku la kupigia kura na kutokomea nalo vichochoroni, kisha polisi ndio analirudisha sanduku hilo huku akikana zaidi ya Yuda kwa sanduku halikuibiwa.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,977
2,000
S

Hawezi akawepo.
Hata wangekuwa waliofunga wapo Elfu Kumi, bado asingekuwepo
Halafu Mkuu unaonekana kama vile una ' Chuki ' na Kitambo tu kwani wapo Viongozi wengi wa Kikatoliki ila Wewe ' interest ' yako ni kwa Kadinali Pengo tu pekee. Kakufanya ' Kitu ' mbaya gani hadi unamjadili na kumnanga hivi?
 
Mzigdash

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
346
250
Nchi ina watu zaidi ya M 50 eti waliofunga ni watu 3..!!!!! Tafakari kauli zako
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,203
2,000
Hata hao missionaries huku kwao zaidi ya 80% hawaamini Mungu tena, yaani hawajali tena.
Mradi wapo wapo tu
 
Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,591
2,000
Hata mi nimeshuhudia ndani ya kwaresima hii binadamu ananuliwa kama tenga la maparachichi, kwa kauli mbiu ya uungwaji mkono.
Nimeshuhudia ndani ya

Kwaresima hii jeshi la polisi likidanganya mpaka shetani akaogopa jinsi mwanadamu anavyoweza kudanganya kuliko yeye, mfano risasi kupigwa angani kisha ikaua raia aliye ardhini, na kwamba raia anaweza kujiteka alafu baadae raia huyo ananyimwa dhamana kwa kuhofia watekaji.

Nimeshuhudia ndani ya kwaresima hii binadamu anavyoweza kudanganya binadamu wenzake yeye ni "JIWE". Hapa hata shetani kidogo ajifiche au arudi kwa mbimguni kwa kumuhofia binadamu na tambo zake hapa duniani.

Nimeshuhudia ndani ya kwaresima hii raia anakwiba sanduku la kupigia kura na kutokomea nalo vichochoroni, kisha polisi ndio analirudisha sanduku hilo huku akikana zaidi ya Yuda kwa sanduku halikuibiwa.
NIMELIA MAANA KILA NIKITAKA KUCHEKA NAJIKUTA NALIA TU....
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
6,962
2,000
Kwa takribani karibia siku 40 zinatimia sasa za Mfungo wa Kwaresma ambapo tunakaribia pia kusheherekea Sikuu ya Pasaka hapo Keshokutwa ila kwa Wakristo wenzangu wengi niliokuwa nao na matendo ambayo wamefanya nitakayoyaorodhesha hapa ukweli ni kwamba waliofunga hasa Kwaresma hawazidi Watatu na tuliobaki wote tumetenda dhambi nyingi sana.
 1. Nimepishana sana na Wake za Watu Gesti Kwaresma hii
 2. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakiwateta wenzao Kwaresma hii
 3. Nimekutana na Vijana kadhaa wa Kikristo wakipanga njama ya kuiba Ofisini Kwao Kwaresma hii
 4. Nimeshuhudia Wanaume wengi sana wa Kikristo wakitembea na Watoto wa Shule
 5. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakidhulumu wenzao
 6. Nimeshuhudia Wakristo wengi mno wakidanganya tena bila woga wala aibu
 7. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakitega kwenda Makanisani japo Ijumaa Kuu hadi Jumapili na Jumatatu ya Pasaka watafurika / watajazana sana
Nashauri tu ' Ukristo ' huu tuwaachie tu ' Wamishionari ' na ikiwezekana tusione aibu kuwaambia waje wauchukue na Sisi tuendelee tu kubaki na Imani zetu za ' Kinafiki ' za Kiafrika ambazo pengine tumezizoea na tunazimudu kabisa.

Nawasilisha.
Wamisionari wenyewe ndio akina Pengo? Kweli tuombeane!
 
Kirokonya

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
1,225

Tusubirie na atakayefanya "utafiti" wa mfungo wa pande ingine aje na data zake!
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,161
2,000
Uko sahihi Genta,
Mimi Kwaresma hii nimeshuhudia Matendo ya yanayokiuka toba ya Rais, IGP, CDF, TISS Dir. Kadinali, Dc Moshi na Rc Manyara. Hawa wote hawakufunga kwaresma nadhani kwa sababu za kiafya.
 
Siwema1234

JF-Expert Member
Mar 5, 2018
271
250
Kwa takribani karibia siku 40 zinatimia sasa za Mfungo wa Kwaresma ambapo tunakaribia pia kusheherekea Sikuu ya Pasaka hapo Keshokutwa ila kwa Wakristo wenzangu wengi niliokuwa nao na matendo ambayo wamefanya nitakayoyaorodhesha hapa ukweli ni kwamba waliofunga hasa Kwaresma hawazidi Watatu na tuliobaki wote tumetenda dhambi nyingi sana.
 1. Nimepishana sana na Wake za Watu Gesti Kwaresma hii
 2. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakiwateta wenzao Kwaresma hii
 3. Nimekutana na Vijana kadhaa wa Kikristo wakipanga njama ya kuiba Ofisini Kwao Kwaresma hii
 4. Nimeshuhudia Wanaume wengi sana wa Kikristo wakitembea na Watoto wa Shule
 5. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakidhulumu wenzao
 6. Nimeshuhudia Wakristo wengi mno wakidanganya tena bila woga wala aibu
 7. Nimeshuhudia Wakristo wengi sana wakitega kwenda Makanisani japo Ijumaa Kuu hadi Jumapili na Jumatatu ya Pasaka watafurika / watajazana sana
Nashauri tu ' Ukristo ' huu tuwaachie tu ' Wamishionari ' na ikiwezekana tusione aibu kuwaambia waje wauchukue na Sisi tuendelee tu kubaki na Imani zetu za ' Kinafiki ' za Kiafrika ambazo pengine tumezizoea na tunazimudu kabisa.

Nawasilisha.
Inabidi aliye uleta aje auchukue manake kwingine kote duniani walisha warudishia wenyewe. Au tuchange nauli ya kuurudisha kwao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom