4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 5,971
- 6,771
kweli mkuu but sio mda nawaurumia sana hawa wakurugenzi wanajiingiza kwenye mtego ambao ipo siku watajuta , chadema sio wajinga narudia kuna mtu anatafutwa na bado kidogo shida watu wanachukulia mambo poa sana kauli za leo za mgombea wao urais zinafikirisha snaKuna mambo hayahitaji akili kubwa sana kuyaelewa namna yanavyoenda/endeshwa.
Hii kauli mmeisahau? "Nikuteuwe mimi kuwa Mkurugenzi, nikupe gari, nikupe nyumba, nikupe mshahara na posho halafu umtangaze mpinzani mshindi!!". Maneno hayo ni mazito sana na yanatanabaisha namna mambo yanavyoanza kuwaendea kombo wapinzani hata kabla ya kuanzwa kwa kampeni.
NEC sio wenzetu, Polisi vivyo hivyo! Mahakama nazo zimekosa weledi wa namna ya kuzisimamia sheria. Upinzani usitegemee muujiza kwani hakuna Mkurugenzi ambaye atakubali kupoteza 'ugali' wake kwa kumtangaza mpinzani kuwa mshindi.
Kwa hali ilivyo sasa, "Wananchi tutachagua, NEC watateuwa".