Tusidanganyane aisee, gari ina heshima yake mtaani.Kipindi hiki kujenga nyumba ni kuleta umaskini na kujimaliza mwenyewe

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Piga ua, mwenye gari ana sauti,anaheshimika na anaeleweka zaidi na watu wa kada zote mtaani kuliko asiye na gari (hata Kama ana nyumba).

Kwa kawaida binadamu huanza kumjudge mtu papo kwa papo baada ya kukutana, swala la kwamba ana nyumba au hana, hujulikana baadae.

Kuchukua mil 15 kuweka ardhini kujenga nyumba, ni kujimaliza mwenyewe! Maana nyumba inataka hela nyingi ,kuanzia TZS 20 Mil. Ikumbukwe kurdunduliza pesa mpk zijae ili ukamilishe nyumba yako,siyo leo! Mambo ya kujenga nyumba kwa miaka 10 nani anataka? Nunua gari,panga nyumba then ununue viwanja, ova.

Fikiria saiv mtu una milioni 10, utafanya kipi uache kipi kwenye maandalizi ya nyumba? Kujenga nyumba kunaleta umaskini. Panga tu,very easy.
 
Ni tafakuri nzuri ila wengi hawatakuelewa
Kupanga nyumba kwa mwezi (kulingana na ubora) ni kati ya 250+ ILA kukodi gari kwa mwezi mmh...!
BTW ukishapata miguu mine jitahidi jidundulize uwe na kakibanda kako.... Kodi sometimes ni kero sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga ua, mwenye gari ana sauti,anaheshimika na anaeleweka zaidi na watu wa kada zote mtaani kuliko asiye na gari (hata Kama ana nyumba).

Kwa kawaida binadamu huanza kumjudge mtu papo kwa papo baada ya kukutana, swala la kwamba ana nyumba au hana, hujulikana baadae.

Kuchukua mil 15 kuweka ardhini kujenga nyumba, ni kujimaliza mwenyewe! Maana nyumba inataka hela nyingi ,kuanzia TZS 20 Mil. Ikumbukwe kurdunduliza pesa mpk zijae ili ukamilishe nyumba yako,siyo leo! Mambo ya kujenga nyumba kwa miaka 10 nani anataka? Nunua gari,panga nyumba then ununue viwanja, ova.

Fikiria saiv mtu una milioni 10, utafanya kipi uache kipi kwenye maandalizi ya nyumba? Kujenga nyumba kunaleta umaskini. Panga tu,very easy.
Hakuna baba mwenye gari, kuna baba mwenye nyumba tu!

"the highest risk should give maximum profit"
 
Kijana ishi maisha yako. Usishindane na mtu. Utapata presha bure. if you are comfortable renting. So be it. If you are comfortable in your own house. So be it. Kila mtu ana mipango yake ya maisha. Ukiangalizia utakwama.
 
Umeamua kutetea kumiliki gari ya kutembelea maana uwezo wako kipato hakitoshi kusimamia show ya nyumba mpaka ikamilike labda miaka 15 hivyo upo sahihi kabisa; Ila usiwawazie na wengine na kujaribu kufikiri mnafanana kwa kipato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom