Tusichezee watoto wa shuleni, 'Itatugharimu'

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,711
1,015
Jamani kila siku serikali inakataza mambo ya "kufanya tabia mbaya" "kunaliihuu" wanafunzi. Lakini vidume sijui kwanini hatusikii hili.

Kuna jamaa mmoja imemtokea puani baada ya kufumaniwa na mwanafunzi. Jamaa huyo ni mwalimu wa Shule moja kijiji flani (Jina kapuni). Amekuwa na tabia ya kutembea na wanafunzi. Tena anatumia msemo "SIMBA ANAKULA SWALA WALIO KWENYE PORI LAKE" Basi akadate kitoto cha mzee mmoja. Mzee huyo alipopata taarifa, alimfata kijana huyo na kumuasa amuache binti yake asome. Mwalimu hakujali.

Siku ya siku, jamaa akavuta denti, wakati anaendelea na majambozI, kumbe mzee naye alikuwa anachora ramani. Alipohakikisha wamemaliza kufanya yao. Mzee akapiga yowe, watu wakajaa.

Mwalimu wananchi wakataka kumuadhibu / apelekwe polisi. Mwalimu kuona mambo magumu akaongea na mzee. Mzee akasema ili wayamalize inabidi alipwe milioni nne.

Sasa Mwalimu yupo anaseka mihela kuondoa aibu.
 
WABALLA Inc

duh kwa hiyo itabidi ticha aendeleze , hiyo ni posa na mahari kabisa ukizingatia imepokelewa na baba mtu
 
Last edited by a moderator:
Sasa kujipoza ndo kumemfanya apate hasara!!Mbona sehemu za kujipoza nyingi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom